Hatimaye! Kumbe watu ku deal na polisi wanaweza ila ni kwaajili ya uongozi pekee na nafasi za kujaza matumbo na sio kuokoa manyanyaso ya raia na hayo yasemwayo ya utekaji 🥹 poor TZ
1.Njaa
2.Dhiki
3.mihemko
4Kukosa uhakika wa maisha.
5.Kutojiamini
6.Uvimilivu wa mateso bila kuwaza fikra mbadala.
Kama mtu anaweza kuivumilia tecno simu ambayo Hadi watoto wa sekondari wanayo, achiliambali madhaifu yote atakwambia inakaa na chaji sana.
KIFASIHI, mtu wa aina hii anathamini...
Kweli hii ni nchi ya watu masikini na dhiki ndiyo uzalendo, sijawahi ona support ya watawala Kwa Uzi uliopostiwa kwenye simu ya maana. Ila mtoa Uzi na watumia tecno wenzio mkobize kuunga mkono makandokando
Mkuu unaifahamu habari ya SAMSON wa Delila?
1.Samson hakupaswa kula kitu haramu kutokana na maagizo ya mungu mwenyewe, katika ubunadamu alikula asali iliyopo katika mzoga wa Simba.
2.Samsoni aliwahi kulala na mwanamke katika dangulo (Kahaba).
Mifano ni mingi ila tuishie hapa nisitumie energy...
Well said mkuu, wapo wanawake wa namna hii ila tatizo idadi yao ni ndogo sana ndiyo maana napata sana ukakasi kusema wanawake wazuri wapo. Uchache wao unafanya nione ni kama bahati na sibu tu kama michezo ya kamari kuwa tunaicheza Kwa kutegemea miujiza na sio nguvu ya uwekezaji Wala uhakika wa...
Kwani kudai mabadiliko ya kisheria nayo ni kumvunjia mtu heshima? Huku kote mnapaleta nyie Kwa kukalia haki za wananchi watu wakizidai Kwa njia wanazoziweza mnasema zimevunjwa heshma. Uongozi ni dhamana na kukubali kushindwa ni jambo la kawaida ila unapokomalia basi walimwengu pia watakukomalia...
Shida ni kwamba mmoja kati ya maelfu hawezi kubadili facts kuhusu wanawake, tunazungumzia kuhusu idadi kubwa ya wanawake ambao ni zaidi ya 98%. Huyo mjomba wako akitumika kama Mfano basi huku nje ataponza wanaume wengi sana Kwa kuigeuza bahati yake kuwa mwenendo wa maisha ilihali tunajua kuwa...
Nkiona yupo mtu kama ww anayehisi yupo mwanamke wakutosheka Kwa sifa fulan za mwanaume X over Y Dah! Nauzunika sana for you brother. Enjoy your moment bro you are not the best it's just your turn 🌚
Mkuu sie walimwengu tumeshakusikia, ombi langu lililobaki ni usisahau Kuni tag tu mkuu we mpe hizo pesa na kuza biashara zake, alafu utapata kujua kuwa dunia ilipofikia sasahivi hakuna mtu special Kwa mtu mwingine Wala huyo wa ndoto unayemsemea. Au nimeghairi usinitag tena usije ukajinyonga...
Mkuu hayo mambo ya kufundshwa kuwa mapadre umesema wewe, Mimi hoja yangu ni watendaji na uhuru walionao wa kufanya mambo mengine ikiwa pamoja na kumtumikia taaluma nyinginezo ukitoa utumishi wa mungu, hyo njo nafasi inayomfanya pia gwajima kuwa Mwanasiasa ukiachilia mbali kuwa kiongozi wa dini...
Mkuu Ningunu kuitengua torati uliyojiwekea kichwa I, All the best mkuu fanya unachoona ni sawa ila Uzi utaofuata in less than five years of her making it in life usiache kunitag🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.