Recent content by White2010

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Wanasiasa wako kazini.....wamerudi majimboni kumwaga dam la cvyo mjengoni hawatarudi.......
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Mkuu comment yako inatosha kabisa...ctaongeza neno wala kupunguza wala ctasoma za hao wengine wenye mawzo mgando!!!! Ntafute unywe soda!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    We pimbi tena kibobori kweli......
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Cyo kweli....mbowe kaoa kibosho cyo marangu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    mahakama imetoa hukumu kwa kuisikiliza ccm ili abaki akikichafua chama...sasa mmenoa yote mnayofanya yako wazi.....
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Mwambie huyo boya....hakumbuki kuwa kiwete alishawah kuxema ni kheri slaa aende ikulu kuliko lisu aingie bungeni??? alikuwa na maana kwamba kichwa cha lisu ni sawa na vichwa vyote vya sheria tanzania.....ogopa kama kiwete anavomuogopa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Mhuni ni wewe na uko wenu...kwanza hujielewi.....
  9. W

    JamiiForums Tanzania Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    We nawe ni kibobori kweli....angekuwa anajiamini asingekwenda kuweka pingamizi bali kusubiri hayo maamuzi yatolewe ndo akayapinge...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Nin cha kuchekesha sasa hapo!!!! katenda madudu na awajibishwe ipasavyo!!!! buriani kabwe
  11. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwaridhisha wazazi...

    Hii imekaa sawa cyo kila saa kabwe na makamba hapa
  12. W

    JamiiForums Tanzania Vision Tanzania: Dr. Slaa Atembelea Shirika la Umeme Marekani

    Kweli we ni pimbi cjui linatokea wap hili....
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

    We chalii angu ndo hujielewi kabixa aani...coz uwezo wa makinda ulikoishia ndo wa makamanda wetu ulikoanzia na ndo maana hoja za msingi bungeni huwa wanawatafutia sababu ili wawatoe nje ndo wawe na uwezo wa kupitisha hoja zao.....maana makamanda wakiwepo hakipiti kitu chaliii ara.....
  14. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

    Huyu nae kibuyu kweli....wale wale mbulula!!
Back
Top Bottom