Kweli si mjuzi maana huwezi kutaja Tanzania kama mmoja wa soko la huawei. Nchi zilizokonda majority ni tunatumia bidhaa za transion holdings(tecno, itel na infinix). Unapoongelea soko la huawei na samsung unatakiwa uguse asia na Europe
Nakumbuka nikiwa chuo nilidakaga m1. 7, nilipoteza appetite ya wali maharage, nilishikwa masikio nikanunua laptop mbovu laki 6 na nusu ambayo ilikufa baada ya mwezi tuu. Nilinunua boda boda maarufu kama kigoda laki 7 ambayo matengenezo yalizidi faida. Ndani ya wiki 2 akauti ilibaki na mia 4 na...
Hapo lazima ununue pc yenye discrete graphic card ya nvidia au amd na ukiongelea nfs payback kuplay high resolution uwe na nvidia 960 na kuendelea, kwa pc yako hata autodesk maya ina run kwa shida mana inatumia intel hd integrated. Nunua tower core i7 alafu agiza kadi ya nvidia online.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.