Waislam Sri Lanka wanaishi kwa uoga. Jamii huenda ikawatenga baada ya shambulio la makanisa

Marekani anafanya vita vya kisiasa na kiuchumi, sio za kidini, ndio maana mwisho wa siku lazima waakeze katika Nchi husika, Baada ya Kuondoa utawala uliopinga maswala yao ya uwekezaji.

Hawaingii msikitini na kuwauwa waslam bali huondoa utawala husika Kwa kuwatumia wazawa.

Lakini nyie waslam vita vyenu, vimekaa kimaskini na kichawi.. Mara kujitoa muhanga, nakujiuwa na kuwauwa watu wasio na hatia, mara muvamie ndani ya makanisa, mara mahotelini na kwenye mikusanyiko ya watu mfano Al-baabu kenya.
kombora la kwanza afghanistan lilitua msikitini..kisha wakaanza kuonesha movie za x..kipidi hicho nafikiri ulikua unaoga nje
 
Marekani anafanya vita vya kisiasa na kiuchumi, sio za kidini, ndio maana mwisho wa siku lazima waakeze katika Nchi husika, Baada ya Kuondoa utawala uliopinga maswala yao ya uwekezaji.

Hawaingii msikitini na kuwauwa waslam bali huondoa utawala husika Kwa kuwatumia wazawa.

Lakini nyie waslam vita vyenu, vimekaa kimaskini na kichawi.. Mara kujitoa muhanga, nakujiuwa na kuwauwa watu wasio na hatia, mara muvamie ndani ya makanisa, mara mahotelini na kwenye mikusanyiko ya watu mfano Al-baabu kenya.
Ww nani aliekuambia hawingili mskiti na kuuwa?? Usijitoe ufahamu mkuu, mabomu Yanayolegwa na Dron zao na midege yao kuuwa maelfu ya waislamu kila siku sio udini ni nn?? Haihitaji PhD kufaham hayo, sema ww unajitoa ufaham, wao wanadhani kuuwa waislamu ni kuididimiza dini, kumbe wanasahau kuwa wanachochea machafuko, Ugaidi anapofanya marekani na nchi za magharib ni zaidi ya unyama, mwisho wamezuia eti vyombo vya Habari kuripoti Ugaidi wao na wamevifungia vyengine.
 
Labda kuna kitu ulikuwa hufamu kuhusu central Africa. Vita vilianziswa na waislam (seleka) kitu kilichopeleka wakristo (anti balaka) wajibu mapigo baada ya kuchoshwa na mauaji ya jamaa wa seleka.soma article hii toka aljazeera ya mwaka 2015 upanue ufahamu

Huko kwengine Bosnia sina uhakika sana walitibuana nn
Usisahau Bosnia, burma na central Africa je waislam wale walikosa nn! !
 
Ukirisro ndio chanzo cha Ugaidi, wanaamini eti kuziingilia nchi za kiislamu na kuuwa ndio njia za kuusambaratisha Uislam, lakini hapo hapo wanatoa silaha kwa kufadhili makundi na wanatumia hela nyingi kuwagawa watu, sera zenu kama hamjazibadilisha na Ugaidi wenu mtauwa watu wengi sana wasiokua na hatia
kwahyo nyie hamjielewi na mnaua kwel ko mnacontroliwa
 
MKUU, DINI SIO IVYO UNAVYOFKIRIA KWAHIO JESHI LA MAREKANI LINAVYOUWA WATU KILA SIKU TUSEME NDIO KRISTU ALIVYOWATUMA?? NINAVYOELEWA MM UISLAM NI DINI YA AMANI NA HAKUNA DINI INAYORUHUSU KUUWA WATU ILA BAADHI YA WATU WACHACHE SANA WALIOMO NDANI YA DINI NDIO WANAOZICHAFUA DINI KUTOKANA NA CHUKI ZAO KWA WENGINE.
Jeshi la Marekani lishakuwa Wakristo?? Sija kuelewa namna yako ya kuelewa ikoje!
 
Ata ukirisro ukaishi ktk jua coz wanauwa watu wengi kila siku
Ukristo ni KUYAISHI MAFUNDISHO YA YESU! TUWEKEE USHAHIDI HUMU YESU KAWAFUNDISHA WAFUASI WAKE KUUWA KAMA MUHAMMAD ALIVYO ELEKEZA WAFUASI WAKE WAUWE
IMG_20190218_143028_026.jpeg
 
KWA KIFUPI: Waislam nchini Sri Lanka wanaishi kwa uoga wa jamii kuwatenga baada ya kundi la kiislam kukiri kuhusika na mashambulio dhidi ya makanisa yaliyotokea kipindi cha Pasaka.

Misikiti imekuwa kimya na hawatumii tena zile loudspeaker zao kuwaita waumin wao mda wa sala.

Wengi wameacha kwenda kazini na sasa wanajifungia makwao.

Zaidi Soma:

COLOMBO, Sri Lanka — As evidence emerges that Islamist militant groups planned and carried out the Easter Sunday bombings that killed more than 350 people in Sri Lanka, the country’s nervous Muslim communities are scrambling to show they share the nation’s shock and grief.


Mosque leaders have stopped broadcasting prayer calls over loudspeakers to avoid offending mourners. They have put up banners with messages of condolence for the victims. They have met with Catholic Church and police officials, and packed food kits for funeral volunteers.


They also are bracing for a wave of anger and possibly violent retaliation that has begun to emerge. Hateful online messages blaming Muslims for the attacks have evaded the government’s emergency social media ban, and stones have been thrown at several Muslim homes and businesses.
Nimefika Sri Lanka, nimefika Colombo, mazingira ka ya ki joto jot sana, ni pazuri. Nilifika mpaka kijiji cha rais wa nchi hiyo. Ila nilichoshangaa ni ule utamaduni wao wa kuwa na sanamu ya budha (yule Mungu wao wa Hindu) kwenye kila nyumba, yaani unakuta kajengewa kabisa kisehemu kama unavyoona bikra maria kwenye makanisa ya kikatoliki hapa Tanzania. Pia kwenye sehemu zao za kuabudia huyo Budha watu ni wengi almost massa yote. Ila vyakula wanapika vizuri sana! So sishangai kuona wahindu wakikasirika maana ktk historia inaonesha hiyo dini ilishawahi kuangamizwa na ikarudi tena.
 
Ukristo ni KUYAISHI MAFUNDISHO YA YESU! TUWEKEE USHAHIDI HUMU YESU KAWAFUNDISHA WAFUASI WAKE KUUWA KAMA MUHAMMAD ALIVYO ELEKEZA WAFUASI WAKE WAUWEView attachment 1083958
Niliwahi kuwaambia
Kuna wakati mnajitoa akili au sijui niseme vipi

Kwakuwa hamjasoma
Bali mnajisomesha wenyewe kwa wenyewe
Sitaki kushangaa sana nukuu zenu

Labda nikusaidie kijana

Aya uliyoituma,ni aya inayozungumzia VITA

Na sura nzima hiyo,ni sura ya VITA

Ndani ya Quraan,kuna aya zinazozungumzia Vita
na kuna aya zinazozungumzia wakati wa amani

Mfano mdogo tu
Ndani ya Sura hiyohiyo
kuna aya zinazozungumzia wasiokuwa Waislam,ambao wanapenda amani,Basi tunatakiwa tuwape amani na usalama
na wala aziguswe hata kucha

Zimekuja Hoja mbalimbali
Juu ya Muislam atakaeua asiekuwa Muislam bila ya sababu ya msingi
Basi hana Pepo ya Allah na sio Pepo tu
Bali hata harufu ya Pepo hatoipata

Fahamu hili Chief

Ubarikiwe sana
 
Ukristo ni KUYAISHI MAFUNDISHO YA YESU! TUWEKEE USHAHIDI HUMU YESU KAWAFUNDISHA WAFUASI WAKE KUUWA KAMA MUHAMMAD ALIVYO ELEKEZA WAFUASI WAKE WAUWEView attachment 1083958
Kadhalika Chief

Neno قاتلوا

Wapigeni Vita
Neno hili,lina maana zaidi ya moja
Kupigwa Vita kuna maana nyingi
a)Kuuwawa
b)Kupambana nao kihoja/kielimu

nk

Pia linaweza kuja na maana ya
Laana

kiujumla maana zipo nyingi
 
Niliwahi kuwaambia
Kuna wakati mnajitoa akili au sijui niseme vipi

Kwakuwa hamjasoma
Bali mnajisomesha wenyewe kwa wenyewe
Sitaki kushangaa sana nukuu zenu

Labda nikusaidie kijana

Aya uliyoituma,ni aya inayozungumzia VITA

Na sura nzima hiyo,ni sura ya VITA

Ndani ya Quraan,kuna aya zinazozungumzia Vita
na kuna aya zinazozungumzia wakati wa amani

Mfano mdogo tu
Ndani ya Sura hiyohiyo
kuna aya zinazozungumzia wasiokuwa Waislam,ambao wanapenda amani,Basi tunatakiwa tuwape amani na usalama
na wala aziguswe hata kucha

Zimekuja Hoja mbalimbali
Juu ya Muislam atakaeua asiekuwa Muislam bila ya sababu ya msingi
Basi hana Pepo ya Allah na sio Pepo tu
Bali hata harufu ya Pepo hatoipata

Fahamu hili Chief

Ubarikiwe sana
Sababu za Msingi Allah Amesha ziweka, Rejea hizo ayat! Usijifanye mjuzi kuliko Allah! watu wa aina hiyo kwa mujibu wa ayat ndio walengwa toka zama hizo hadi mwisho wa dahari! Usipulize halafu unauma Mkuu! Hadi Allah anaomba kwa MWENYEZI MUNGU Awaangamize WAKRISTO na Wayahudi, na sababu kaweka kwa nini awaangamize...walengwa tunajua Madhumuni yako ukipata fursa hatudanganyiki tena!
IMG_20190218_144809_299.jpeg
IMG_20190218_143028_026.jpeg
IMG_20190429_143722_799.jpeg
 
Kadhalika Chief

Neno قاتلوا

Wapigeni Vita
Neno hili,lina maana zaidi ya moja
Kupigwa Vita kuna maana nyingi
a)Kuuwawa
b)Kupambana nao kihoja/kielimu

nk

Pia linaweza kuja na maana ya
Laana

kiujumla maana zipo nyingi
Maana zoote ulizo weka Allah Karuhusu unachagua uitakayo!
 
Jamaa yangu
Tuma Tafsiri kamili ya aya ya kwanza

kisha aya ya mwisho,imekosewa tafsiri yake
Kisha
Aya ya mwisho,hakuna sehemu iliyotajwa kuuwa au kupiga

Kama ipo
naomba utuonyeshw

Aya ya mwisho
imekuja kuwashangaa nyie mliemfanya Mtume wa Mungu kuwa mwana wa Mungu
kama Wayahudi walivyofanya

Labda ulete maana uliyokusudia ww
Shukran
Sababu za Msingi Allah Amesha ziweka, Rejea hizo ayat! Usijifanye mjuzi kuliko Allah! watu wa aina hiyo kwa mujibu wa ayat ndio walengwa toka zama hizo hadi mwisho wa dahari! Usipulize halafu unauma Mkuu! Hadi Allah anaomba kwa MWENYEZI MUNGU Awaangamize WAKRISTO na Wayahudi, na sababu kaweka kwa nini awaangamize...walengwa tunajua Madhumuni yako ukipata fursa hatudanganyiki tena!View attachment 1083973View attachment 1083974View attachment 1083983
 
Back
Top Bottom