Recent content by White Charcoal

  1. White Charcoal

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Contact???
  2. White Charcoal

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Bajeti yako iko vip?
  3. White Charcoal

    Kwanini Wanajeshi wengi wakipewa Mkopo hukimbilia kununua tu Magari na si kujiendeleza Kimaisha?

    Hizi mada mziache huko huko fb... Kwan wewe mwanajeshi kununua gari inakuhusu nin?? Katika maisha umeambiwa kila mtu mpk ajenge? Unaweza jenga lkn nyumba yako na banda la mbuzi visiwe na tofaut... Mbna hamwasem wahind wanaomilik magar ya mamilion lkn wanakaa kwenye nyumba za NHC?? Ukiona maisha...
  4. White Charcoal

    St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

    Hahahhaa.. Kitambo sana.. Sie enzi hizo tulianzisha chama cha kuleta vyakula.. Bas kwenye kikundi kila mmoja akawa na zam yake.. Hapo yule aliekua mambo saf kdg zam yake ndio ilikua inasubiriwa kwa hamu sana maana analeta bites kibao.. Wengne ikifika zamu yao ni balaa.. Mara mihogo mibichi...
  5. White Charcoal

    Je, matumizi haya ya sarafu zetu ni sahihi?

    Sina hakika kama ni saraf yenyewe.. Ila tuassume n yenyewe sasa.. Je kuna kosa?
  6. White Charcoal

    Je, matumizi haya ya sarafu zetu ni sahihi?

    Nmekuelewa mkuu.. Pa1 sana
  7. White Charcoal

    Je, matumizi haya ya sarafu zetu ni sahihi?

    Je sheria iko vip ktk hili swala?
  8. White Charcoal

    Kwanini wanawake wa mjini mnapenda Sana elfu 30 na elfu 50?

    Unajua kila mtu na taste yake.. Na isitoshe mapenz hayaji kwa factor moja.. Hata ukolon pia ulikuja kwa factor kibao tu... Nakupa mfano tu... Smartphones zote karbia zina kubali kila app ambayo unatumia.. Kwann unapoenda kununua unabagua.. Mara iphone mara samsung mara htc.. Na bado hizo pia...
  9. White Charcoal

    Jongoo ana nini mpaka wanawake mumuogope?

    Ukiwa nae nambie nije...
  10. White Charcoal

    Je, matumizi haya ya sarafu zetu ni sahihi?

    Habari za asubuhi wanajamvi, Mimi ni mnunuzi mzuri sana wa bidhaa za mtandaoni sana sana ebay. Leo katika pita pita zangu nikakuta kuna necklace imetengenezwa kwa sarafu yetu ya Tshs 1 ya mwaka 1992 inauzwa kama Usd 15 hivi. Swali langu je sheria zetu zinaruhusu sarafu hizi kutumika kama...
  11. White Charcoal

    Kwanini wanawake wa mjini mnapenda Sana elfu 30 na elfu 50?

    Umetisha mjomba... Umefunguka kwa hisia zako zote... [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
  12. White Charcoal

    Kwanini wanawake wa mjini mnapenda Sana elfu 30 na elfu 50?

    Na value ya muhongwaji pia broo... Sio dem anakuja na miguu yote ya kushoto... Minyusi kama mswaki.. Nyuma kapigwa pas kama muhindi wa milima ya Shimla.. Alafu kirahis rahis nimpe laki... Atasubir sana...
  13. White Charcoal

    Kwa mahitaji ya viwanja na mashamba Mwanza haya hapa bei poa

    Kiseke robo heka vip napata kwa bei gan? Au kikiwa sqm 600 au 800...
  14. White Charcoal

    Natafuta mume

    I meant wamebuni rangi yao...
Back
Top Bottom