Wakati tukiendelea kuisubiri kwa hamu mechi ya Fainali ya Michuano ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus ni wazi wapo baadhi ya wachezaji na wakufunzi ambapo kila mmoja kwa nafasi yake fainali hii ina umuhimu mkubwa sana kwake kutokana na uhalisia wa maisha yake ya soka...
Matumizi ya Teknolojia yameshika kasi sana katika ulimwengu huu na imekuwa ni chanzo cha kutatua baadhi ya changamoto mbali mbali zikiwemo kubwa na ndongo ambazo kimsingi zimekuwa zikizisumbua jamii zetu. Kila sehemu katika Tanzania yetu kuna changamoto zake kutokana na idadi ya watu...
Wingi wao inaweza kuwa sababu kuu ya wao kuonekana Makanisani lakini pia hata wanawake wanafanya mambo mengi mabaya hii yote inatokana na kuwa wepesi katika kushawishika. Wanashawishika haraka Kucommit signs kulinganisha na wanaume ambao mioyo yetu migumu haikubali kufanya kosa haraka.
Mifano...
Kwanza ishu ya Fiesta iko wazi sasa hivi Diamond ni Balozi wa Vodacom na Tamasha la Fiesta kwa Mwaka 2016 lilikuwa liko chini ya udhamini wa Tigo Tanzania kwa hiyo ilikuwa ni ngumu kwa Diamond kuperform kwenye Jukwaa la Fiesta kwa hiyo yeye kuwa Nigeria ni kwa ajili ya kukamilisha ratiba zake za...
Kimsingi muswada huu ukipitishwa ukawa sharia vijana ambao walikuwa wameigeuza mitandao kuwa sehemu ya kipato chao automatically wanaanza kufeli Maisha maana Blogs na webs Zao hazitofanya Kazi tena mpaka usajili Na haijajulikana usajili utakuwa how much kwa maana what I believe kwa dunia hii ni...
List nzima ni nzuri ila Michuzi amekaa pahala pasipokuwa pake kuna waandishi wenye sifa za kuwa hapo kutokana na weledi wa habari zao. Mfano mzuri ni Justus Mwigulubi wa Mwanahalisi.
Kwani alifikaje? Kama hakupita Certificate , Diploma mpaka Degree nae aondolowe. Maana itakuwa ni aibu mtoto wa Mkulima anarudishwa ila wa viongozi wanapeta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.