Recent content by wellknown

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuondoa ukakasi akaunti ya kumchangia lissu iwe ya kwake au mke wake full stop!

    Wengi wanaobwabwaja hawajatoa hata sh 500 Waliotoa wapo kimyaaaa
  2. W

    JamiiForums Tanzania NACTE: Hatutambui nursing assistant wala medical attendant

    Medical attendant sio wale wanaovaa nguo za kijani? Kama hawatambui mbona ndo wamejaa mahospitalini wanachoma sindano??
  3. W

    JamiiForums Tanzania Walitambua vipi kuungua kwa nyumba kulisababishwa na betri kupata joto?

    Wanashindwaje kuwagundua wasiojulikana?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya zitatoka lini?

    Smh, sijui hata watatumia vigezo vipi kuajiri coz watu ni wengi nafasi zilikuwa chache mnoo......washasema kama hukuweka payingslip ya leseni za mwaka Jana ndo basii
  5. W

    JamiiForums Tanzania Polisi wamewakamata wanachama wa CHADEMA waliojitokeza kuchangia damu Temeke hospitali leo

    Damu zenyewe tunachanga bure au kwa kasoda Hosp wanauzaaaa
  6. W

    JamiiForums Tanzania Polisi kamateni huyu kwanza na wengine wenye tabia hizi

    Yule aliyepongeza mauaji ya kibiti mbona policcm walimkamata? Hakuwa na uhuru wa kuongea? Aliyesema kuwa msimfananishe baba wa taifa na vitu vya ........ Mbona alikamatwa? Yy hakuwa na uhuru wa kuongea? Hata Huyo angewajibishwa
  7. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

    Dah! R.I.P Don jamani
  8. W

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Hivi, Hawa watu wasiofahamika Tzni akina nani?? Waliomteka Roma hawafahamiki.... Waliomteka Ben hawafaamiki..... Waliopiga mabomu ofisi za wanasheria hawafahamiki ...... Waliojaribu kumuua Lissu hawafahamiki...... Hivi kile kitengo cha upelelezi kina kazi ghani?????
  9. W

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Naona wanataka kum Doctor Ouko
  10. W

    JamiiForums Tanzania Suala la ajira nchi hii ni siasa

    Pole sana, lakini natamani serikali ingetuajiri japo miez minne tu kisha tutumbuliwe, mm Nina kipaji lakini bado inahitajika pesa......hatujaajiriwa tangu 2015 hafu Leo hii wanatangaza nafasi 3000????? Hawako serious, nashauri ulime kama maji huko uliko sio shida, kakope mbegu za mboga dukani
  11. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    MWe, wangetuajiri hata miezi minne tu kisha atutumbue........
  12. W

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa

    Ujumbe unatia moyo sana.... SHIKAMOONI WENYEJI. .
Back
Top Bottom