Hiyo ndiyo tofauti yetu sisi wakristo na nyie.. adui yetu mkumbwa tunapambana naye kiroho wala sio kimwili.. tutamuombea arudi katika mstari.. wakati mwingine inaweza ikawa ni propaganda kutumia neno Bible kueneza chuki wa kundi fulani Hii haitabadilisha kweli iliyokatika biblia walikuwepo...
EFT CLEANING AGENCY LIMITED inatangaza nafasi ya kazi ya Fumigation Personnel
Sofa
. 1. awe na Umri usiopingua miaka 21
2. Awe na utayari kufanya kazi pale atakapopangwa
3. Awe amesomea fani husika na aw na vyeti vyote muhimu vya usajili
4.Awe tayari kufanya kazi ndani ya wiki mbili toka angazo...
We ni poor brain ndomaana watu wanabeba mihela na wakijua Kuna watu watakuja na kauli za kuwatetea. Nacte,MCT na Wizara ya elimu wanapaswa wabadili mfumo wao sio Kwa Ajira Bali Kwa Kila kitu
Ndio maana Hii Nchi watu wanabeba mihela wakijua kuwa watanzania wengi hawawezi wafanya lolote na watawanyamazia. Mtu anaibua hoja ambayo watanzania wengi wanakutana nazo unaibuka huko eti sio lazima uajiriwe.. Points zote ambazo mtu anatoa ni Uhuru wake na ni kilio Cha walio wengi na...
Ndugu yangu Kama transcripts ingekuwa inatoka Chuoni Moja Kwa moja hapakuwa na tatizo. Lakini unavyosema transcripts itoke NACTE Dar unatarajia nini? Hivi unajua Kuna watu wamemaliza vyuo na washasahau mpaka namba ya Mtihani wa Form 4. Hivi unajua Kuna watu hata shilingi laki Moja ya Kwenda Dar...
Leseni ya MCT au ya Ufamasia pamoja na kuwa na. Malipo Kuna ambao hawana hata nauli ya kuzifata. Sisi tunajiuliza kama Mtu kamaliza chuo Mwanza Kwanini RMO wa Mkoa ndo
Kuna watu walimaliza Vyuo 2020 na 2019 lakini mpaka Sasa hawajafikiwa na Transcripts. Hebu nenda pale NACTE Mikocheni uone watoto wa Maskini wanavyohaha kupata Transcripts. Kuna watu wamesubiri vyeti hvyo zaidi ya Mwaka. Wakipiga simu mtu anaambiwa subiri. Muda uongezwe
Ndugu zangu ningeomba tutumie huu Uzi kutoa maoni Kwa kuwaomba TAMISEMI kuongeza Muda wa watanzania kutuma maombi ya Kazi za ualim na Afya.
Kwanza muda uliotolewa no siku ambazo sio Chini ya 20 na yawezekana wengi wasiombe na kukosa Fursa ya Kuajiriwa(Kwa wale watoto wa maskini) ambao hawana...
Nilimaliza Chuo Mwaka 2020 Kada ya Afya. Mwaka 2022 Aprili Nikaomba maombi ya Transcript na Niliomba Niippokelee Mwanza ambapo ni Jirani. Cha ajabu nikaambiwa kuwa Nitaikuta Mwanza. Nimeenda Ofisi ya Mwanza Wakaniambia kuwa haipo. Nikaenda Dodoma wakaniambia haipo. Nikaenda Ofisi za Dar...
Nilimaliza Chuo Mwaka 2020 Kada ya Afya. Mwaka 2022 Aprili Nikaomba maombi ya Transcript na Niliomba Niippokelee Mwanza ambapo ni Jirani. Cha ajabu nikaambiwa kuwa Nitaikuta Mwanza. Nimeenda Ofisi ya Mwanza Wakaniambia kuwa haipo. Nikaenda Dodoma wakaniambia haipo. Nikaenda Ofisi za Dar...
Nilimaliza Chuo Mwaka 2020 Kada ya Afya. Mwaka 2022 Aprili Nikaomba maombi ya Transcript na Niliomba Niippokelee Mwanza ambapo ni Jirani.
Cha ajabu nikaambiwa kuwa Nitaikuta Mwanza. Nimeenda Ofisi ya Mwanza Wakaniambia kuwa haipo. Nikaenda Dodoma wakaniambia haipo. Nikaenda Ofisi za Dar...
TAMISEMI MSAIDIENI MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUZUIA MALALAMIKO YA NAFASI ZA AJIRA 21,200 ZILIZOTANGAZWA KADA YA ELIMU NA AFYA
Na. Matuguta Zax
Nampongeza sana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili na sasa ameanza mwaka wa tatu kwa kishindo cha kumwaga ajira za kada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.