Recent content by weddyhazole

  1. W

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Huyo aliyekufindisha hiyo course chuoni naye ni mwalimu kwahiyo nayeye uwezo wake ni mdogo! Mburura kweli ww
  2. W

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Course uliyosoma naww mtoto wa kiume unatoka mbele za watu kuponda walimu? Teh teh
  3. W

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Bila shaka mna stress za maisha nyie! Tuambie kazi yako hapa! Kama sio walewale wa GS halafu unajiona kiiiiichwa wkt ss tulikuachia ww mburura
  4. W

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Bila shaka mna stress za maisha nyie! Tuambie kazi yako hapa! Kama sio walewale wa GS halafu unajiona kiiiiichwa wkt ss tulikuachia ww mburura
  5. W

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Huyu mbwiga sijamuelewa! Mwl km anafundisha somo la kiswahili akipewa mtihani wa kidato cha pili unasema hawezi kuufanya? Njoo hapa nikutafutie swali hata la drs la 7 tuone kama utaliweza!
  6. W

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita sio mbali na Mwanza Mawasiliano: 0763728646
  7. W

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita mm nije Iringa au Mbeya, idara ya secondary. 0763728646
  8. W

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita nije Iringa au Mbeya 0763728646
  9. W

    Hakuna kilimo cha umwagiliaji,hakuna ajira,hakuna mvua za uhakika,unakamataje vijana wasio na kazi?

    ``Wakamatwe'' hivi hiyo ndo mikakati ya kuwakwamua vijana? Kama ndivyo tumekeisha, hapa naona maono F
  10. W

    Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

    Yeye kutamka moja anashindwa anasema moya basi nacheeeka balaa
  11. W

    Ni kweli Dr. Vicent Mashinji anaweza vaa viatu vya Dr. Slaa? Ni chaguo sahihi?

    Mapovu yanawatoka! Ndo wale 46 wanaosubiri kufikiriwa na magu nn?
  12. W

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Mbona mnaleta utetezi usio na tija kwa taifa letu? Nyie mmejuaje kama hayo aliyopost ni ya uongo? Mmekaa kishabiki tu, issue kama ina maslahi ya nchi tuzungumze ukweli sio mmekaa kuteteatetea tu hapa
  13. W

    Zitto aagiza walimu wanaouza maandazi wakamatwe

    Hahahahahaaaaa hilo ww ndo umeona nimefeli! Edit halaf uendelee kujadili hoja, akili ndogo hiyo kama hapo unaona nishafeli
  14. W

    Zitto aagiza walimu wanaouza maandazi wakamatwe

    Kama anafundisha watoto 45 na madarasa na nyumba za walimu zipo hamna shida! Lkn sio darasa lina watoto 120 hamna pa kuwaweka halafu utegemee wote wajue kusoma hata kama nitaingia darasn kila siku usitegemee pisitive results
Back
Top Bottom