Nimeandika full detailed information then nikafuta, back then when I was still a young dude Chirundu to Beight Bridge used to be my territory.
In short, it's money 💰.
Mpaka mara ya mwisho naabgalia statistics Germany 🇩🇪 ndiyo ilikuwa inaongoza kwa ulevi duniani, hivi uchumi wao uko vipi kwa sasa. Nasikia kama wamei-overtake Japan na kuwa number three kiuchumi na wanaendelea kuwa number one kwa Europe.
Back to the topic:
Ukiona pombe zinakupelekesha na badala...
Bado nakusoma, huu mwandiko umekuja style ya memba flani(RIP), nahisi nawe utakuwa kama yule ila kidogo uta-act wa kishua. Hata mie na uzee huu sometimes for the sake of my mental health huwa nasoma hizi blah blahs kwa minajili ya relaxation.
So you're in between Benz and Pussy, this sounds...
Scrutiny ifanyike:
-Kuna uwezekano mipanga imeshapangwa behind the scenes hichi kinachofanyika ikawa ni danganya toto.
-Kuna uwezekano hii ikawa ni kiini macho tu kwamba anayeweka pesa ni mtu wa nje ya nchi au mwanasiasa ambaye hataki maswali ya kwamba pesa amezipata wapi.
Kama kikao chao ni...
Tume ndiyo mdudu gani, unajua kutoka Kariakoo mpaka maeneo ya Kisutu hii si mara ya kwanza kwa ghorofa kuanguka na tume zilishaundwa sana. Tume ni kiinimacho cha kuvuta muda waiting for the heat to cool down.
Una usafiri lakini kimbembe cha traffic jam kinakutia adabu, air-conditioning ndiyo kitu kitakachopunguza machungu ya adha za msongamano wa foleni ya magari barabarani.
Wazazi wako wangekataa ndoa usingekuwepo kuandika hii thread. Ndoa ni tombola, you either get a wrong and terrible wife hapo lazima utajuta kuoa lakini ukipata the right woman nawe ukawa ni mume sahihi kwake utaamini ya kuwa you're the happiest man on earth.
20yrs plus ndani ya ndoa na mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.