Recent content by Website

  1. Website

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu kwa anaefahamu sululisho la huu ugonjwa au hata tiba yake

    Hilo jina la hiyo dawa liko sahihi kweli......maana nimeisachi google inakataa au tuwekee spelling vizuri "kama umekosea lakini"
  2. Website

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Davido kutoka Sony, sasa ni zamu ya Ali Kiba

    Huyu hapa na mademu wenzake.
  3. Website

    JamiiForums Tanzania Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

    Kama kana penda "uzungu" ndio kazuri,maana katakuwa HAKACHAGUI JINSI YA "KUMEGWA".
  4. Website

    JamiiForums Tanzania Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

    Mi nakapenda haka hapa,Dayna Nyange.
  5. Website

    JamiiForums Tanzania Kenya wanunua Treni Mpya ya kisasa

    Treni mpya,lakini ni za kizamani.
  6. Website

    JamiiForums Tanzania First Lady wa Ufaransa

    Mi naona kumpenda huyo bibi hajakosea,ila kosa lake ni kama yeye mwenyewe hana mtoto hata mmoja,kisha yuko hepi na hiko kibibi.
  7. Website

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya OPA ya mwaka 2004 inauzwa

    Jinsi ulivyozitaja namba tu,mi hoi.
  8. Website

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Ni mapema mno kusema kuwa huu wimbo ni m'baya au ni mzuri,ngoja tuipe muda ndio tutajua ukweli.
  9. Website

    JamiiForums Tanzania Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

    Kama kawaida ya wabongo wenye chuki zao kuponda hata kama kitu hawakielewi,kasema analipwa $ 2,800 -3,500 kwa mwezi na ni kweli youtube huwa wanalipa pesa sasa wewe UAMINI AU USIAMINI yeye hayamuhusu wala hajasema lazima uamini kwa sababu anafanya muziki kwaajili ya maisha yake na si yako...
  10. Website

    JamiiForums Tanzania Wasafi dot com fanyeni marekebisho kwenye App yenu..

    Achana nae huyo,njoo uone world tour ya "king wetu" alivyosepa na kijiji.
  11. Website

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna mtoto huyu binti kanipeleka puta balaa..

    Jukwaa la kikubwa alionekani hadi ukishaunganishwa na Mods ndio linatokea kwenye screen yako.
  12. Website

    JamiiForums Tanzania Utakalo lifanya kesho limeshakuathiri/ linakuathiri leo

    Nadhani hili darasa langu la pili c ndio tatizo,ngoja nitoke,maana waswahili wanasema kama kitu ukielewi basi ujue hakikuhusu.
  13. Website

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi unavyohangaika kutafuta mauaji yako mwenyewe

    "Angalia ulivyopata kilema cha maisha kwa kuvunjika mguu,kwasababu ya gari lako mwenyewe tena ulilipata kwa mkopo,laiti ungejua hata mkopo wenyewe ungeupotezea" Sasa tafakari kama kila kitu ukifikirie kwa njia hii je kuna sababu gani ya kuishi ........Vitu vingine ni lazima vifanyike ili iwe...
  14. Website

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuishi na mwanamke mwenye story Mob

    Dawa yao ni NDOGO MNO,wakati anataka kuongea mtafutie shughuli itakayomfanya awe bize kidogo,kwa mfano muambie samahani mpenzi hivi nguo zangu ulishazinyoosha ....Au vipi bebi waweza kunitengenezea juice.... Yaani kwa kifupi awe bize,ila chunga sana usiongee kiukali na pia asijue kama hutaki...
Back
Top Bottom