Recent content by webondo

  1. webondo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO - Inachukua muda gani kupata majibu?
  2. webondo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Tunawashukuru Sana Kwa kazi nzuri mnayofanya kuhakikisha huduma zinakuwa Bora zaidi. Ingawa tunaamini changamoto nazo huwa hazikosekani hasa kwa kukosa umeme kwa maeneo mengi ya Dar es Salaam. Binafsi naishi hapa DAR (Chanika), katika ENEO la Chambala. ENEO hili lina wakazi wengi mno...
  3. webondo

  4. webondo

    Ni sehemu gani ya mwili wako unaipenda sana?

    Kidole changu cha kati
  5. webondo

    Nauza mbwa bora wa ulinzi

    Wewe uliyetoa hii post ni mwehu sana, natamani upewe BAN kubwa kuliko hata kichwa chako. Jana umetoa post mbili; hii yenye heading "NAUZA MBWA WA BORA WA ULINZI, post nyingine uliandika "MBWA NI MLINZI WA KWELI" Posts zote mbili umeandika kuwa unauza mbwa na umeweka namba zako hapo. Wengi...
  6. webondo

    Mbwa ni mlinzi wa kweli

    Una mbwa aina gani (breed)? Bei zake zikoje? Labda tuanzie hapo.. Mbona hujibu????????
  7. webondo

    Mbwa ni mlinzi wa kweli

    Una mbwa aina gani (breed)? Bei zake zikoje? Labda tuanzie hapo.. mimi napenda mbwa sana kwa ulinzi.
  8. webondo

    Huu ni mtihani mgumu kwa awamu ya tano

    Muosha huoshwa..
  9. webondo

    Vyeti vya Makonda: Ni Siasa za Woga na Hofu ya Ukali wa Sizonje?

    Kuweni naye pamoja hata akienda ndani nendeni naye msibaki nje
  10. webondo

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her...
  11. webondo

    Madawa ya Kulevya: Askofu Dr. Gwajima na Idd Azzan kupandishwa Kizimbani Kisutu leo

    Ngoja waumini unaowaita "mazuzu" wakujie hapa. You are low-minded.
  12. webondo

    Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

    Sehemu kuwa ya utajiri wake ni urithi, ingawa naye aliendeleza biashara hadi kufikia hapo. Mungu atamsimamia katika haki.
Back
Top Bottom