Recent content by web

  1. web

    JamiiForums Tanzania katiba..

    Nawaza loud hapa... Hv rasm ya katiba ikitokea wananch wengi wakaipinga.. Bado naona wanaweza ipitisha kwa kisingizo mbona 1992 weng walikataa democracy lakn busara ikatumika... Kama vile hakuna umuhm wa kupiga kura... Nawaza tu hapa.... Kk
  2. web

    JamiiForums Tanzania Ngassa kutambulishwa leo,aliahidiwa 3m kila goli!!!!!

    m3 kwa akili zake ataenda kuoa mke wa pili.... vi2 vingine siyo vya kuongelea.. wa2 kama kina pawasa mpk sasa wanalalamika walipopata nafac za kwenda nje wakang'ang'ania mpira wakulogana wa tz...
  3. web

    JamiiForums Tanzania Ngassa kutambulishwa leo,aliahidiwa 3m kila goli!!!!!

    mmmh.... huyu mtoto nina wasiwasi na washauri wake.. nadhan wanaamin mpira n simba na yanga 2... hafikiri hata kutoka nje ya nchi
  4. web

    JamiiForums Tanzania New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

    anyway umejitahid kuvutia wa2 2some.... kichwa cha habari na kiwiliwili haviusiani
  5. web

    JamiiForums Tanzania Dereva matata

    DAAAAAAH,....dereva katisha ile mbaya............
Back
Top Bottom