Recent content by We Trust

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Nenda ustawi wa jamii utoe taarifa.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Atakua anaona bado haujaacha.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

    Kwa ushauri wako mkuu, ukiwa na kama 22M. Bora uchukue gari gani la juu? Maana nlikua naiwazia hii gari.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe wachaga hukodi magari mwisho wa mwaka kwenda kufanya show off kwao

    Ni roho mbaya inakusumbua. Si ungeenda na wewe kwenu?
  5. W

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

    Fuga mbwa.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

    Ukikua utaacha. Ni utoto na roho mbaya inakusumbua.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Man u waliwafanyaje?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Kama unataka uzuri wa mwili hata huyo utayempata utamuacha tena akibadilika. Nahisi utoto unakusumbua
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hivi DStv wamekosa Watangazaji kweli?

    Weka channel nyingine, 222. Hao ni wanapiga stori wachukue mpunga wao. Wanaboa kinyama.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    Nahisi hamtumii vipimo sahihi vyakujua madini yako wapi. Mbona wawekezaji wakubwa wanapga hela? Na kujichanganya kwenye ushirikina kunaongeza matatizo.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

    Daah. Kaongee na baba yake kabsa. Ajue umejua. Mpe talaka yake. Maisha mapya yatakuja. Na mama yake kama yupo ajue.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Amezaa na mume wa mtu, katelekezewa mwanaye

    Aende Ustawi wa Jamii. Mtoto apewe matunzo. Aache uoga, jamaa alee mtoto wake.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu anaelekea kuoa bomu, nimnusuru vipi?

    Acha kihere. Tulia binti ameshabadilika.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nakata bia na majamaa, mmoja akaleta za kitoto nikamchapa

    Tafuta hela hasira zitaisha mkuu
  15. W

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaofundisha shule za binafsi mnaishije?

    Uwezo wa kufundisha inaonekana unao. Ulichoenda fanya kule Songwe ungekiendeleza. Either urudi kule au ufanye kama ulvyokua unafanya kule hapo ulipo sasa. Kama uko na mkataba kawashtaki pia.
Back
Top Bottom