Recent content by wazir2716

  1. wazir2716

    Msaada: Natafuta kazi ya Storekeeper

    Bado ninaendelea na kazi mpaka sasa sijaacha kazi, changamoto kubwa ni kuwa kwa hapa nafanyishwa kazi nje ya masaa ya makubaliano katika mkataba bila malipo yoyote, kingine kila mwaka unapewa mkataba wa mwaka mmoja mmoja, natazamia kupata changamoto nyingine katika kazi na kupewa mkataba wa hali...
  2. wazir2716

    Msaada: Natafuta kazi ya Storekeeper

    Mimi ni kijana wa miaka 28, ninauzoefu wa miaka minne katka masuala ya stores na elimu yangu ni Diploma ya Procurement and supply management, msaada jaman mwenye connection.
  3. wazir2716

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Kabisa naamin wamejifunza kitu sasa Makorokocho
  4. wazir2716

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania ndugu Edward Lowasa amerejea tena katika chama chake cha ccm baada ya kuhamia chadema. Makorokocho
  5. wazir2716

    Kuna siri gani kwa wahindi

    Funguka mkuu nashindwa kuwaelewa hawa watu kwan tabia zao zipo sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. wazir2716

    Kuna siri gani kwa wahindi

    Mbali na kusubir vyama vitutee ukweli ni kwamba hawa jamaa hawanaga utu kabisa yaan wanachojari wao ni kazi zao tu ziende bila kuzingatia haki zako za msingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. wazir2716

    Kuna siri gani kwa wahindi

    Ni kweli kabisa vyama vya kutetea haki vipo kimaslahi yao binafsi havina tofaut na vyama vya siasa walanguzi tu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. wazir2716

    Kuna siri gani kwa wahindi

    Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. wazir2716

    Nifanye nini niweze kuweka Akiba.

    Kanisani kuna nn leo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. wazir2716

    Nifanye nini niweze kuweka Akiba.

    Huo ndio ushauri?? Rudi shule Sent using Jamii Forums mobile app
  11. wazir2716

    Nifanye nini niweze kuweka Akiba.

    Nashukuru mkuu kwa ushauri wako Sent using Jamii Forums mobile app
  12. wazir2716

    Nifanye nini niweze kuweka Akiba.

    Asante mkuu ntakitafuta maana najiona mjinga Sent using Jamii Forums mobile app
  13. wazir2716

    Nifanye nini niweze kuweka Akiba.

    Naombe ushauri wana jf mimi ni muajiriwa katika kampuni flani hiv mshahara wangu unakidh maitaji yngu yote tatizo nililonalo ni mzito wa kuweka akiba kwa ajili ya maendeleo ya baadae. Sasa nifanye nn ili tatzo hili liniondoke Sent using Jamii Forums mobile app
  14. wazir2716

    Hamu zako katika mapenzi zinapandishwa na nini?

    Ukiwa na wowowo... Tu mie tyr mnara Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom