Nifanye nini niweze kuweka Akiba.

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
4,501
2,000
Naombe ushauri wana jf mimi ni muajiriwa katika kampuni flani hiv mshahara wangu unakidh maitaji yngu yote tatizo nililonalo ni mzito wa kuweka akiba kwa ajili ya maendeleo ya baadae. Sasa nifanye nn ili tatzo hili liniondoke

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika matumizi yako ya mwezi kwanza uone unakosea wapi then anza kupanga matumizi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,064
2,000
Nilikua na tatizo kama lako.

Mimi niliamua kutafuta watu 9 wenye kazi, nikawaambia tuanzishe kikundi cha kuweka hela kwa mfumo wa hisa .
Kila mwezi sasa na save si chini ya 100,000

Inasaidia maana kila wiki lazima ununue hisa. Pia tunakopeshana kwa riba nafuu.

Hivi sasa tunapanga kuanzisha biashara ya pamoja ambapo hiyo biashara itaturudishia hela zetu. Na kila mmoja atakua anapewa gawio la faida ya biashara kulingana na hisa zake. Baada ya miaka miwili kila mmoja atachukua hela zake huku tukiwa na miradi midogo
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,180
2,000
Utakuja kuniambia ulichojifunza leo
Ushauri wangu ndio huo
daa5cc08e5889ee17c09338dc774d7bf.jpeg
FB_IMG_1549855060317.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

casanova69

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
1,969
2,000
Punguza kuhonga, nimeacha hiyo kitu now nasevu hela nyingi balaa mpaka najishangaaa. Now nitampa hela ambaye atakuwa mke wangu,nimejiwekea principle ni mwiko kumpa mchumba hela.
Uchumba ni kama mahindi mzee,kama hupalili ,huweki mbolea unategemea utavuna mahindi bora?
Afanye kitu simple old fashion,achonge kibubu siku izi vipo vya chuma mdogo mdogo atafika,mambo ya bank kwa wenye vijisenti pesa yote inaishia kwenye makato.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom