Recent content by Wayo

  1. Wayo

    JamiiForums Tanzania Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

    Hilo ni bunge la ccm. Wananchi bado hatupata wabunge wakutuwakilisha.
  2. Wayo

    JamiiForums Tanzania Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    CCM jehanamu inawajia soon.
  3. Wayo

    JamiiForums Tanzania Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

    Hii amani inafaida Kwa wanasiasa wezi tu
  4. Wayo

    JamiiForums Tanzania Historia nyingine kuandikwa na Awamu ya Sita. Mradi mkubwa wa kutoa maji Ziwa Tanganyika kufikia mikoa 6

    Mmeshawaomba kibali DP WORLD kuwa mnataka kutumia maji yao?
  5. Wayo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuziba masikio?

    Hakuna taifa liliowahi kukombokewa kwa maombi.
  6. Wayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Prof. Kindiki anatoa onyo kwa Odinga dhidi ya dhidi ya maandamano yenye vurugu

    Kwani katiba inasemaje kuhusu maandamano?
  7. Wayo

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wadai kudhalilishwa na Dkt. Stergomena Tax, Waziri wa mambo ya Nje. Mobeto na Shilole wapewa nafasi za Waandishi

    Bora hata amewaita waandishi wa zamani kiufupi nyingi ni madwazi.
  8. Wayo

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud (Makamu wa Rais Z’bar): Hakuna Mkataba mbovu kama huu wa Muungano

    Tunaitaka Tanganyika yetu sasa.
  9. Wayo

    JamiiForums Tanzania Kyela: Wananchi waililia Bandari ya Itungi

    Endeleeni kujipa moyo
  10. Wayo

    JamiiForums Tanzania Figisu kuzima issue ya Bandari

    Acha kuzungumzia ishu za figisu unazipa nafasi
  11. Wayo

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuhusu issue ya DP WORLD shida kubwa iko kwenye hizi 35% za wazawa

    Tuletee hiyo document iliyoandikwa hizo asilimia 35. Hatutaki siasa kwenye ishu zinazohusu rasilimali zetu.
  12. Wayo

    JamiiForums Tanzania KWELI Tozo za kutoa pesa kwa wakala na ATM bado hazijafutwa

    Kila nikijaribu kukuelewa point yako nashindwa.
  13. Wayo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa na wenzie kuitisha mkutano wa wananchi Julai 22

    Hata akitulia mawe yatapiga kelele.
Back
Top Bottom