Niko kajunjumele kwa wiki 3 sasa , naendeleza CHADEMA DIGITAL
Vipi mzee mwakitombile umemuona,
Niko kajunjumele kwa wiki 3 sasa , naendeleza CHADEMA DIGITAL
Tutaipambania hadi tone la mwishoNdio ishagawiwq bure kwa waarabu
Ngoja kwanza tuokoe bandari ndio tutaanza kutafuta watuVipi mzee mwakitombile umemuona,
Ujielewi mtadanganya wajinga hivi Dp work wawekeze bandari ya kyela Ili wapate Nini hakuna ata mixigo cdm ni mpango wa ovyo atuwezi ata kuwapa nchiWananchi Wilayani Kyela wamesikitishwa na kusononeka baada ya kuambiwa kwamba Bandari yao waliyoitunza na kuipenda kwa miaka yote , nayo imechukuliwa na Waarabu wa DP WORLD
Huku wakibubujikwa na Machozi , wananchi waliopakana na Bandari hiyo kutoka vijiji vya Bujesi , Njisi , Ngonga na Kajunjumele wameonekana kukata tamaa kuhusu uwekezaji huo , hasa wakizingatia kwamba ni hivi karibuni Serikali ilitumia hela nyingi kujenga meli mbili za kisasa zilizotengenezwa na Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela Mwanza , Taarifa zaidi zinasema kwamba wananchi hao kwa umoja wao wanatafakari hatua za kuchukua ama Wamuachie Mungu aamue.
Taarifa za Bandari za ziwa Nyasa kubinafsishwa kwa Waarabu zimefichuliwa na Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe alipoongea na Waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya Chama chake jana na kwamba Bandari za Mbambay , Manda na Itungi nazo zimekwenda na maji kwa muda usiojulikana .
Mungu Ibariki Kyela .
Soma kwanza mkataba wa DP WORLD halafu ndio urudi kuchangia , unashangaa Itungi wakati kuna bandari duni zaidi ya hiyo wamepewa .Ujielewi mtadanganya wajinga hivi Dp work wawekeze bandari ya kyela Ili wapate Nini hakuna ata mixigo cdm ni mpango wa ovyo atuwezi ata kuwapa nchi
Hivi kwa nini wewe unatapatapa sana?🤣Kama haina lolote mbona nayo wamepewa Waarabu ?
Kupigania mali zetu ndio kutapatapa ?Hivi kwa nini wewe unatapatapa sana?[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu usiwe na shaka, tutawaambia Malawi ziwa lote ni lenu chukueni ili tumukomoe huyu mwarabu!
Mali zetu wewe na nani?Kupigania mali zetu ndio kutapatapa ?
Mimi na Watanganyika WenzanguMali zetu wewe na nani?
Watanganyika wenzako gani?Mimi na Watanganyika Wenzangu
Endeleeni kujipa moyoLa bandari lishaisha hilo.
Nyie endeleeni tu na ngonjera zetu butu mitandaoni
Wewe utakuwa umelogwa Katavi au KigomaWatanganyika wenzako gani?
Kwani Kigoma au Katavi sio Tanganyika? Usianze kuleta ubaguzi kama Mbowe😂Wewe utakuwa umelogwa Katavi au Kigoma