Figisu kuzima issue ya Bandari

Bob Malik

Senior Member
Oct 1, 2019
121
404
Ndugu zangu watanzania hasahasa Watanganyika wenzangu. Suala la bandari msilichukulie poa. Baada ya miaka 60 humu wote hatutakuwepo ila wanetu na wajukuu zetu watakuwepo.

Ebu fikiria wanetu waanze kuwa watumwa tena wa Warabu au wazungu, hvi watatuelewaje?

Hii issue sio ya chadema au ya Silaa ni yetu sote tunaoitakia mema nchi yetu. Mungu atufungue macho tuone kuwa

1. Hizi battle za wasanii wa bongo fleva ni porojo tu ili tusahau suala la bandari.

2. Kuna matukio mengi sana yatatengenezwa ili kututoa kwenye reli. Tusikubali.

Tunataka bandari zetu.
 
Nataman wananch tunge kuwa na Haki ya kuwavua ubunge wabunge tunge piga kula kuwavua wote ili sellikal ife huko manina zao
 
Ndugu zangu watanzania hasahasa Watanganyika wenzangu. Suala la bandari msilichukulie poa. Baada ya miaka 60 humu wote hatutakuwepo ila wanetu na wajukuu zetu watakuwepo.

Ebu fikiria wanetu waanze kuwa watumwa tena wa Warabu au wazungu, hvi watatuelewaje?

Hii issue sio ya chadema au ya Silaa ni yetu sote tunaoitakia mema nchi yetu. Mungu atufungue macho tuone kuwa

1. Hizi battle za wasanii wa bongo fleva ni porojo tu ili tusahau suala la bandari.

2. Kuna matukio mengi sana yatatengenezwa ili kututoa kwenye reli. Tusikubali.

Tunataka bandari zetu.
Nyinyi bado mko huko tu? Dah
 
Dsm Jiji kubwa linashindwa kuwa na wakati wenye ifahamu.Mbona Nairobi na Lusaka wakazi wakke wanajitambua.Tatizo like wapi Hadi bandari inaenda.
 
Bandari day 22 July.
 
Attachments

  • IMG-20230716-WA0840.jpg
    IMG-20230716-WA0840.jpg
    320.9 KB · Views: 1
Kuna sinema inatengenezwa kwenye hizi timu zetu uchwara za Simba na yanga na kama watafanikiwa basi watanzania wengi watahamishwa kwenye ishu ya bandari
 
Back
Top Bottom