Umo ndani kashilikiswa ommy g luteni wakati anaingiza verse alichemka kama mara kumi ivi adi mastar j akamtaka aje kuludia siku nyingine kwa sababu tulikuwa tunawai kwenye lieso ya summer jum mwaka 2001 ambayo siku izi ndo inaitwa fiesta
Kwenye album ya kwanza umesahau ngoma inaitwa MTU BEE. Iyo ngoma wakati inalekodiwa mi nilikuwepo ndani ya studio imefanyika kwa mastar j. Na tukachukua ngoma aliyofanya na mr. Poo inatwa buzi.
Nyimbo iliyomtoa nesha ni ya mabaga fresh. Inaitwa mtulize kipindi icho juma nature ana nyimbo yake ata moja wakati uwo haruna ameshaiti na ngoma ya ngangari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.