Mpende tu hakuna namna
Huyu dada hajiamini na wewe pekeake ndo unaweza kumbadilisha mindset yake ....... Mwambie babe nakupenda hivi hivi ulivyo huna haja ya kuwa unavaa vigodoro ,umpe maneno matam matamu kuwa unampenda alafu kile kidogoro chake unakifungia kabatin mda wa kuondoka unamwambia avae tu nguo za kawaida ikiwezekana mvalishe .........
Pole pole atajikuta anazoea kutembea bila kigodoro na baadae kuacha kabisa
Usipomrekebisha mda huu ipo siku ataweka mchina kabisa !!!
Mimi chura nikiipenda ujue ilipita mbele yangu na bukta.kigodoro habar ya mjini
tatizo uraiani wamezoea kumuona na wezere





Halafu katia na Iliki![]()