Recent content by waukweli12

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mbegu za nyanya zinahitajika aina ya F1

    Naomba namba zao mkuu kama unazo
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mbegu za nyanya zinahitajika aina ya F1

    Wadau naweza kupata wapi mbegu za nyanya za hybrid F1 kwa Daressalaam. Au kwa yeyote anajua maduka ambayo naweza kupata mbegu izo aniambie
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 5s

    Simu iko katika hali nzuri sana ila ni icloud locked. Serious buyer who wants it just call me via 0718 620 305. Price Laki 3.5
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi kabisa nini anakitaka Kwangu mpaka najuta kumfahamu.

    Me simtaki kabisa uyo mschana mana ana mtoto kabisa me Nina wangu lakin kaniganda kama ruba mpaka najuta yan kwann nilimjua
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi kabisa nini anakitaka Kwangu mpaka najuta kumfahamu.

    Jaman wana jamvi ilitokea kama mwaka mmoja uliopita nilipata kujuana na mschana fulani ivi akawa rafik yangu tunachat kama marafiki wakati uo uo mimi ni gf wangu ambae nampenda sana na yeye unanipenda mno lakini sasa kadiri nilivokuwa naendelea na kuchart nae ukaribu ukaanza kupita mipaka lakin...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yeye nampenda lakini SMS wanazotumiana hapana

    Wana jamvi, Nina mschana ambae alikuwa na jamaa yake huko nyuma sasa ikatokezea wakaachana ila mimi nilikuwa sijui kama wameachana na kama ana mtu nilimfuatilia mschana yule kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu mpaka akaingia line,tunaanza maisha ya kama bf na gf tumedumu kwa zaidi ya mwaka now...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 5s

    Wadau Nina iPhone 5s nauza lakini iko icloud locked kwa bei nafuu saana 300,000tsh mazungumzo yapo lakini. Serious buyer inbox me via 0718 620 305
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 5s

    Wadau Nina iPhone 5s nauza lakini iko icloud locked kwa bei nafuu saana 300,000tsh mazungumzo yapo lakini
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kasi ya CCM haizuiliki

    Mtoa mada unashindwa hata na kibabu? Yeye ametokea huko huko na ameona kabisa sisiem mwaka huu kifo cha mende we bado tu unaendelea kuifagilia!! Ivi kati ya magufuli na Lowasa Nani ana Sera bora kuliko mwenzake!! usiandike vitu kama mjinga usie na akili tumia akili yako vizuri.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kutoa Apple id iPhone 4

    Iyo ni kwel hata mimi mwenyewe nimehangaika na iPhone 5s yangu nilinunua USA iko locked mpaka nikaongea na apple wenyewe wakaikataa wqkasema haiwezekani mpaka mwenye simu aifungue. So haiwezekani iyo mambo kabisa. Fundi ambae atakwambia anaweza kutoa iyo lock ujue aidha anataka tu kukulia...
Back
Top Bottom