Recent content by water60

  1. W

    Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

    kuna wasanii kama AY ye ashinde au ashindwe waTZ wote tunampa big up coz anajiheshimu na kuheshmu wengne lakini ndomo tunafurahi akianguka sababu ya shauzi zake,mwanzoni nlimpenda sana diamond ila kadri siku zinavyoenda ndo namchokaaaaa...
  2. W

    Hii tabia ya wanawake watu wazima kuoga pamoja yaani bafu moja imekaaje?

    mahabusu wanaoga pamoja wazee,wamama na mabinti hapo haijalishi kama una aibu au vp
  3. W

    Ndugu zangu hii ni sahihi? Naomba ushauri tafadhali

    ni either unampenda sn mkeo au unamuogopa,mpe makofi mawili tu afu mwache alieeee hadi alale afu akiamka mwambie achague kati ya ndoa ili abaki au x wake ili umrudishe kwao,km anataka kubaki mnyang'anye simu yenya access na mtandao af mnunulie kitochi ht kwa mwezi tu akili itasogea NB.baada ya...
  4. W

    Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

    bahat mbaya betri za redio ziliisha tukiwa tumeweka clouds tangu krismas so sauti zngne nmezisahau naickiaga ya bdozen oyeeee....
  5. W

    A new celebrity in town is a FRAUD OR WHAT?? C.C CLOUDS TV

    am sooooo...Dissapointed,hakuwa wa kushinda yule na makwazo yote alowapa wenzie
  6. W

    Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

    ni ngumu kumjua alie mwema haijalishi mwanamke or mume hasa akikasirishwa
  7. W

    Jina gani zuri ukifupisha

    lionel-leo
  8. W

    Enzi ulipokuwa boarding

    nakumbuka sana tabora girls nlipokuwa form2 tuliwazomea milambo kwny mechi kesho yake ilikua jmoc wakatulipizia wakatualika disco afu wakawa wanacheza na wadada wa mtaani luckily j2 kukawa na joint mass kwetu basi watu wakaandaa timu ya kuzomea yani walizomea balaa,usku sasa milambo walitembeza...
  9. W

    Kwanini baada ya kuoana tumeachana?

    mi niko tofauti kidogo,ndoa nyng zinazovunjika ni zile za party kubwa regardles mmeishi miaka mingi au ndo mmekutana hapo kuna mawili..Either kufuru ya ndoa yenu imewahuzunisha watu hasa wasio nacho au kuna mkono wa mtu hasa kwenye zawadi tupewazo tuwe na utaratibu wa kuziombea kabla ya...
  10. W

    Maswali kibao juu ya Tego| Password

    naomba nisaidie huo ujuzi nami nijarbu
  11. W

    Maneno haya siyapendi...!!

    uspende kuanika mambo ya ndoa ipo siku utaambiwa mambo ya kukutoa roho,...uhusiano wa jinsia tofaut mara nyng huishia pabaya,mkanye mkeo na umfatilie coz wengi huwa tunachukia tukiambiwa ukweli japo mara nyngi huwa yanakuja kutokea
  12. W

    Le Mtuz this is Too Low for You

    hao wanatafuta kick tu hamna bifu wala nini
  13. W

    Ndoa ya Lola na Peter: Umri na ukabila unavyoitesa familia ya akina P-Square

    yani hapo wakae mwaka mzima bila kurekodi..Kila mtu kwake mke wake full stooop...
  14. W

    Intelligent husband

    hahahaa..Na hela awe nayo chacha atanunulia nn kila cku
  15. W

    Wema Sepetu: Najuta kumlipia Kajala mil 13

    kwani aliombwa?!?.si misifa yake..AKOME
Back
Top Bottom