Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Ujinga ni kuamini simu ya mkeo haikuhusu.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
mimi simu ya mwanamke hainuhusu na wala sina time nayo. niliomba kibali serikalini kumiliki silaha kwa ajili ya self defense na siyo kuulia mke au kujiuwa mimi mwenyewe.