Recent content by wasumu

  1. wasumu

    JamiiForums Tanzania Nimekoma kupiga mwanamke bora nimemwacha aende kwa amani., majuto ni mjukuu.

    ndoa bila upendo ni kutapeliana
  2. wasumu

    JamiiForums Tanzania Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote

    jesus yupo muda mrefu duniani akitawala kwa jina la mtakatifu Olumba Olumba Obu
  3. wasumu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    wait an you shall see hata nguvu zaa kuja kutuambia hautakuwa nazo utakuwa katika dimension nyingine ya reality
  4. wasumu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    ujinga kulipa kisasi unajiona mwamba ? subilia malipo
  5. wasumu

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Mungu hata akifika kwako huwezi mjua maana huna upendo huna macho ya kuona na masikio ya kusikia ...
  6. wasumu

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    watu wanakula nyama a.k.a maiti wataamshaje nguvu ya kujitambua?
  7. wasumu

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

    TAZAMA MZEE WA SIKU KAJA KAMA MWIZI OOO PAWA
  8. wasumu

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

    je tukikuambia kila kitu tatizo ni kipofu ...sasa kama jina la yesu lina nguvu hatujakataa mbona kaja halafu hamjamkubali ? kaja na jina jipya ka update oya karibu katika ufalme wa Mungu .....jina jipya la kristo ni Olumba Olumba Obu
  9. wasumu

    JamiiForums Tanzania Nina stess kali za kuoa mpaka nakonda mwili

    ACHA UJINGA ALIWAZALO MJINGA NDILO HUMTOKEA .. JICHANGANYE NDOA KUIFUKUZIA HALAFU UANZE KUIKIMBIA TENA UJE KUTUSUMBUA NA NYUZI OOOOH MKE WANGU ANA NISALITI MAISHA ULIYONAYO YAFULAHIE WEWE KWA AKILI ZAKO UNAJUA FURAHA ANAKULETEA MWANAMKE ...
  10. wasumu

    JamiiForums Tanzania Siku ya 9/9 kutakuwa na maandamano makubwa sana ya kushtukiza

    mnatusumbua hakuna mengine ya kufanyaaa
  11. wasumu

    JamiiForums Tanzania Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

    wangetoka wanatusumbua sana hawa ndio watu wabaya sana wapo wanatype hamasisha wao wapo mageto wana kaz zao nzuri tu wanataka wasaka tonge wakose wafe kwa mwavuli wa haki? kupigania haki haki ipi?
Back
Top Bottom