Recent content by WASIWASI

  1. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

    Dah acha kabisa usiku wa 1999 to 2000 tulikesha kusubiri mwisho wa dunia
  2. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

    Maisha na kumbukizi nzuri sana ..enzi hizo movi za Rambo zilikua hatari sana
  3. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    afrodenzi Victoire
  4. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

    Vip mzee hali ya kisiasa Meru huko?
  5. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Tukuiachana na mahubiri kupigwa marufuku kwenye mabasi ni kero gani nyingine zinazomkabiri abiria?

    Zile movie na miziki kwenye basi imekua tatxo hawangalua inatakiwa iangaliwe na watu wa umri gsni...unakuta mtu upo ma watoto lakini wanachoonosha kina enda kinyume na umri ulioruhusiwa kuona
  6. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

    Kwa kumbukumbu zangu tafuta kitabu cha kiswahili darasa la saba mtaala wa miaks ya 90s....sehemu ya tatu alienda kwa mtabiri wa malimwengu akashauriwa arudi tena msituni huko shetani alimwambia awape marafiki zake ...aliporudi kwa mtabiri akamwambia marafiki wa shetani ni wezi na wanyang'anyi so...
  7. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

    Hii simulizi ilikua kwenye kitabu cha kiswahili shule ya msingi miaka 90s....
  8. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

    Nilikwenda office za tanesco baada ya kufungiwa umeme kuuliza kuhusu tarif zero walijibu hiyo tarif kwa sasa haipo wameifuta
  9. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

    Kuna aina ngapi za stingless bees?
  10. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Mbona foleni zimezidi?

    Hali ni mbaya sana Bagamoyo Road.
  11. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania KERO: Nimetukanwa na kudhalilishwa na kondakta wa daladala

    Pole mdada mwema, mpotezee tu
  12. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Polycarp Pengo hajamuandaa askofu Ruwa'ichi alipokuwa seminari. Aliyemuandaa Ruwa'ichi ni padri Cyprian Tirumanywa wa jimbo kuu la Mwanza

    Kuliwahi kua na askofu mkerewe tatizo hujui historia , unamkumbuka askofu Fortunatus Lukanima?
  13. WASIWASI

    JamiiForums Tanzania Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Acha uongo Pope wa sasa aliingia akiwana 78yrs na ikumbukwe pope anachaguliwa na cardinal wenye umri chini ya 80yrs
Back
Top Bottom