Recent content by Wasi

  1. Wasi

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Wakuu, Naomba ufafanuzi wa hii kauli "Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiwango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu." Hapa kikotoo kimekaaje?
  2. Wasi

    Computer4Sale HP Laptop for sale

    HP LAPTOP Intel Core i2 2nd generation CPU @ 2.00GHz RAM 4.00 GB HDD 250 GB System type 64 bit OS Bei 350,000/= haina tatizo lolote 0718965554/0759901919 Dar es Salaam
  3. Wasi

    Trend Reading: Rais Magufuli amebadilika, he is changing for the better, ameonyesha uwezo, anaweza!. Mei Mosi ya leo atapandisha mishahara!.

    Ili suala ni pigo sana kwa watumishi wa umma, kama hali itaendelea hivi watumishi watapoteza matumaini na kusabibisha hali ya kiutendaji kuwa mbaya zaidi. kuongeza mishahara ni haki sio ombi Tuache haya masuala ya ahadi hewa
  4. Wasi

    Ripoti ya IMF 2019: Tanzania imeendelea kuwa na uchumi imara

    Hakuna kitu hapa.. Alete link ya hii ripoti na sisi tuisome sio atuaminishe kilais lais.
  5. Wasi

    Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Hauna PDF yake mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Wasi

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Daaahhh....ili tatizo Na Mimi ninalo mwisho wa siku iligundukika kuwa ni latent TB after long dose nothing change mpaka Leo tatizo halijaisha
  7. Wasi

    Mwenye lines za tigo pesa na airtel Money nahitaji

    Nichek kupitia izo namba tuongee
  8. Wasi

    Mwenye lines za tigo pesa na airtel Money nahitaji

    Nicheki kwa 0718965554/0759901919 utapata izo line
  9. Wasi

    Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Daahhh.... Kitu cha advance Physics sio mchezo asee.. Nakumbuka xul enzi izo tulikuwa Na ticha was Physics akija anakata mechanics sub topics kwa siku moja... Ukimuuliza sasa Ticha mbona hatuelewi anakwambia hapa unapta aidia tu mambo mengine utahua mwenyewe..daaaahhh mpaka unatamani kukimbia...
  10. Wasi

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Sehemu inayofuata unatuletea lini mjomba
  11. Wasi

    Sasa ukweli umedhihiri, ni kweli Lowassa alimsumbua Mrisho Gambo amkutanishe na Rais japo kwa dakika kadhaa

    The man is a a politic silent killer. The time will tell. Let watch
  12. Wasi

    Jafo: Tamko La serikali kuhusu posho, uhamisho na walimu kupanda mabasi bure kama Dar es salaam

    Dunia haijwahi kuwa na usawa hata siku moja... Suala linaloitwa maslai kwenye sekta yetu ya elimu kila kitu ni kama ndoto...endeleeni kuota
  13. Wasi

    Serikali yatoa kibali cha ajira kuziba nafasi zilizoachwa na waliokutwa na vyeti feki

    Sawa kwann huwahawajiamin kwa kusema ni lini wanazitoa?? Hii ni kama kauli ya NNE wanazungumzia ajira..na kuhusu hiyo mishahara ya 200% ..mhhhhhh
  14. Wasi

    Msaada: Mwalimu anamtaka kimapenzi mwanangu. Je, nichukue hatua gani?

    Kama angekuwa anatakwa na dokta au mhandisi ungekuja kuomba ushauri?
Back
Top Bottom