Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Naibu Waziri Jafo akijibu swali bunge amesema kwamba posho kwa walimu wakuu na wakuu wa elimu katika idara mbalimbali unafanywa na serikali kila mwisho wa mwezi na kila halmashauri iweke utaratibu wa kulipa posho za walimu na watumishi
Amesema pia walimu kupanda bure kwenye mabasi sio kuwafananisha na ombaomba bali ni kuwajali walimu na kuonesha kazi yao inavyothamini pia amesema kuhusu uhamisho serikali bado inaendelea kutoa muda si mrefu kutokana na kuisha kwa zoezi la uhakiki wa vyeti kwa asilimia kubwa sana.
Amewataka pia wakuu wa wilaya kuwa na ubunifu kama unaofanywa na mkuu wa wilaya ya Handeni katika ujenzi wa nyumba za watumishi