Recent content by Wasega

  1. W

    TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Weka tu kwenye PDF moja itakusaidia mbeleni
  2. W

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Kwa ambao hawajapata nafasi ya kuajiriwa kwenye audit firms ila ameajiriwa kama muhasibu sehemu inakuwaje hii? Atapata kweli hii CPAPP?
  3. W

    Mkeka wa TRA lini?

    Si kweli, nimesoma hapo na asilimia kubwa hawachukuliwi kutoka chuo Cha Kodi mpaka malamiko yameenda mbele.
  4. W

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Ninaanza pia intermediate na ninafikiria kufanya na covenant online lakini Sina idea ya wapi pa kuanzia. Ninaomba kama hutamind unisaidie number yako PM tuwe study mates.
  5. W

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Habari, nina BBA Accounting nilikua nahitaji kufanya CPA, lakini kwa muda nimekuwa nikikutana na ushauri tofauti kuwa ACCA ni nzuri zaidi ya CPA bila maelezo maalum. (Ninaomba maelezo juu ya hili) 2. Pia ninauliza kwa centre nzuri Arusha kwa ajili ya CPA ni ipi? Na kama ninaweza kupata tutor...
Back
Top Bottom