Recent content by Wasaga

  1. W

    Majina ya Mitaa ya Jiji la Arusha yauzwa kwa matajiri Wa Kihindi

    Zoezi la anwani za Makazi jijini Arusha limegeuka kuwa zoezi la Kugawa Majina ya mitaa ya jiji hili kwa matajiri Wa kihindi. Mitaa ya jiji la Arusha imepewa Majina ya matajiri Wa kihindi na Kufuta kabisa asili na historian ya eneo hili.
  2. W

    Je, ni kweli Burigi ina ukubwa wa mbuga ya Serengeti ambayo ni maajabu mojawapo ya dunia?

    Na Hao wanyama waliopelekwa huko wataishia kwenye mbuga ya Akagera iliyoko Rwanda, labda tumewapa hao ndugu zetu hao wanyama Kijanja bila gharama yoyote. Hakuna Wa kuwazuia wasivuke mpaka na Kuingia Rwanda Kama wanavyoingia na kutoka a Serengeti na Masai Mara ya Kenya.
  3. W

    Magufulification

    This serious transformation that is happening isn't discussed - the President supplies us every couple of weeks or couple of months with a huge multi-billion dollar project that wasn't discussed in the parliament, wasn't discussed in the newspapers and the people will just clap and say great...
  4. W

    Mwambieni Magufuli Tunahangaika sana Kujenga Nyumba za Ibada Asitubomolee Hovyo

    Inatuchukua miaka mingi ya kujitolea na kumwomba Mungu hadi kufanikiwa kujenga nyumba za ibada. Kama Magufuli hajashiriki kujenga nyumba za ibada, hajui gharama kubwa inayotupata kujenga nyumba hizi. Atuachie nyumba zetu hizi asitubomolee. Hakika laana kubwa haitamwacha kwa unyama huu na kiburi...
  5. W

    Reasons why Magufuli will be a one term President

    Mr. President you are approaching the next election as an incumbent. People will judge you on your performance as a President. The points you scored during your presidency will either lift you or ditch you in the bewilderment In the 2015 elections you rode on your performance as a Works...
  6. W

    Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Hivi wale Wa Magomeni Quarters ilikuwaje? Si Nyumba zinajengwa na watakaa Bureta?
  7. W

    Wanasiasa wa Tabora wanadumisha historia yao. Nyerere aliwaamini hawakuaminika, sembuse CUF

    Ndiyo maana Lipumba alisema Magufuli alipokuwa anapiga push up yeye alikuwa ananyanyua vyuma, kumbe aje kubeba mizigo
  8. W

    Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    Largest Sports stadia in the world 1. Rungrado 1st of May Stadium 150,000, Pyongyang North Korea 2. Michigan Stadium 107,601Ann Arbor, Michigan United States 3. Beaver Stadium 107,282, State College, Pennsylvania United States 4. Ohio Stadium 104,944, Columbus, Ohio United States 5. Kyle...
  9. W

    Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

    Wapi Makongoro Nyerere, Samwel Sitta, Harrison Mwakyembe, Asha Rose Migiro, Sofia Simba, Sofia Simba, Vuai Ali Vuai, Nape Nauye, Amina Makilagi, Lazaro Nyalandu, Ummy Mwalimu, Livingstone Lusinde, Bernard Membe, Pindi Chana, Stephen Masele, Maua Daftari, Shamsi Vuai Nahodha, na wengineo? Mbona...
  10. W

    Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Amenifundisha kutokata tamaa maishani hadi siku ya mwisho. Jiulize, alipokatwa Dodoma, huku akiwekewa zengwe asipokekewe UKAWA, na mabosi wake wa zamani wakiamini wamepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza lake; angekata tamaa na kusema basi, tusingeweza kuyaona haya yanayotokea sasa. Mahaba...
  11. W

    Happy birthday Edward Lowassa

    Happy birthday our beloved President
  12. W

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    In a democracy the poor will have more power than the rich, because there are more of them, and the will of the majority is supreme. Lowassa has conquered the hearts of the poor and he will win this election.
  13. W

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mimi nadhani ukombozi unaotakiwa ni wa kuweka mamlaka ya kuchagua serikali mikononi mwa wananchi. Wananchi wawe na uwezo wa kuchagua serikali na maamuzi yao yaheshimiwe. Sasa hivi serikali inachaguliwa na watu wachache wanaokuja na viongozi wanaowataka mfukoni mwao. Hulazimisha watu Hawa...
Back
Top Bottom