Recent content by Warrior

  1. Warrior

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hello, naomba kujua website ya kudownload kdrama HD kabisa ile 1080p au 720p
  2. Warrior

    Nishauri series gani niangalie

    Wakuu hii House of david ndiyo imeishia hapa episode ya 8 au inaendelea ???
  3. Warrior

    Series (Special thread)

    Mkuu em nipe maelezo ya hiyo seeder inatokea baada ya kudownload kule torrent, ina maana gani ??
  4. Warrior

    Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Kijana kataa ndoa, Linda furaha na amani ya maisha yako
  5. Warrior

    Mtwara: Kivuko cha kubeba watu 100 kinabeba zaidi ya watu 2000 kwa maagizo ya viongozi wa serikali

    Nimeona leo pale feri aisee ni hatari saana ....nilitaka kuvuka lakini moyo ukasita ikabidi nirejee tu nyumbani
  6. Warrior

    Kampuni ya kuagiza magari ya Orbit imekwenda kinyume na makubaliano yetu katika ununuzi wa gari

    Duuh, pole mkuu hao matapeli tafuta tu mwanasheria mzuri maana wamebadilisha makubaliano ya awali wenyewe, haki yako utaipata
  7. Warrior

    Msaada service ya mitsubishi Outlander 2007

    Andika model ya gari yako google utapata taarifa zote kuanzia engine, trans, tyre na mengineyo, kwa upande wa service pitia hata Youtube utaweza ona namna inavyofanyika
  8. Warrior

    Kama hamtaki kuajiri msituvuruge majobless

    Hata mgodoni Barrick na Geita gold mine (GGM), wew ukiona tangazo la kazi basi ujue mtu ameshapatikana wala usiforce kuomba hautoitwa na hata kama utaitwa ni geresha kuna mtu teari
  9. Warrior

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Mkuu uislam umeingiaje hapa katika mada hii, em jikite kujibu hoja za mwenzetu pasipo kukimbilia kuingia uislam hapa,
  10. Warrior

    Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Dah maisha haya mkuu wew acha tu, mim juzi na jana nimezima taa za nje nimeona zinamalizza umeme tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  11. Warrior

    Tatizo la kununua luku

    Voda vipi inakubali jamani ??
  12. Warrior

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Heeee kumbe korean khitan war ina usodoma tena maana ndiye nimeshusha episodes za mwanzo hizi nataka nizichek
  13. Warrior

    Muda si mrefu Simba itarudi kwenye class yake. Form is temporary, but class is permanent

    Dah mkuu unafananisha Real madrid na Sumba em kuwa serias [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  14. Warrior

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji419][emoji419] Hii post naomba ihefadhiwe Arsenal wako moto sana
  15. Warrior

    Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

    Hali iliwahi kumpata mpenzi na issue ilikuwa ni fungus alivyoweka vile vidonge ndani ya uke akapona ikawa fresh tu hapati tena maumivu
Back
Top Bottom