Halow wadau...
Nina mtu wangu nimedumu nae kwa miaka 4.. na tunapendana sana.. ila hajashika dini na mimi nataka mwanamke mcha Mungu.. nikioa mwingine nitakua nimefanya kosa?
kwa mfano umekuja uko club ama bar anatokea mshkaj anajidai anakufaham unampa bia moja.. wewe uko na dem wako hapo... kale ka bia bas anakanywa halaf anaanza kumshika shika dem wako kiuno... anaking'ang'ania wee kuliko hata we mwenye pesa... haka katabia kanakera mno ama mnasemaje waungwana
habar ndugu na jamaa.... mi mpaka saiv sijapata kujiandikisha katika kitambulisho cha kupia kura kwa sababu moja kuu
-nilikua nikifanya kazi kijijin na kutokana na kazi zangu za kutembelea katika vijij mbalimbali nimekua nikipishana na wahusika wa kujiandikisha... eitha nifike mkoa ambao...
habar wana jf
mim ni kijana na ninapenda niwe mwanachama wa ACT WAZALENDO . kam kijana mzalendo na nchi yangu.. na kuweka mizizi imara ya kizalendo katika wilaya nliopo ya MUFINDI -MKOA WA IRINGA
ila tatizo ni kwamba sijui pahali pa kupatia KADI hii ya chama... kwa yeyote anae weza kunisaidia...
hili bado ni kitendawili kwangu.. asilimia kubwa ya wanaume wengi hupendezeshwa ama kutamanishwa na wanawake wenye makalio makubwa..mpak dada zetu saivi hutumia dawa ili kukuza makalio.
hivi siri ya haya makalio ni nini ingalikua makalio hayaliw... na kwa wale wastaarabu hawayatumii?
Habari wandugu.
Miaka miwili nyuma nlikua na mpenzi wangu ambaye tulishafikia stage ya uchumba alifahamika kwetu kama mimi nlivofahamika kwao.
Siku moja tulifarakana kidogo kam ilivo kawaid ya mapenz.na tulikaa wiki nzima bila kuwasiliana mpaka alipokuja kunitumia sms ameomba likizo ya mwezi...
Habari zenu waungwana,
Katika hali halisi ya maisha ya mwanadamu, yamekuwa yakigubikwa na imani za aina mbali mbali.
Mimi napenda kuangalizia suala la imani ya ndoto.Kuna wengine huamini ndoto kama ndio muongozo wa maisha yao na kufuata na kutekeleza kila kile wanachokiona ndotoni.
Hili limo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.