Msaada .. Kitambulisho cha kura

Msaada .. Kitambulisho cha kura

waraha

Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
22
Reaction score
5
habar ndugu na jamaa.... mi mpaka saiv sijapata kujiandikisha katika kitambulisho cha kupia kura kwa sababu moja kuu
-nilikua nikifanya kazi kijijin na kutokana na kazi zangu za kutembelea katika vijij mbalimbali nimekua nikipishana na wahusika wa kujiandikisha... eitha nifike mkoa ambao washapita... ila itakua bado mpaka na ondoka hawajafika... na mpaka sas muda umekwisha katika mikoa niliopo... niko mikoa ya ndani kusini mwa tanzania... msada na omba kwa yule mwenye uwezo wa kunisaidia
pamoja katika kujenga taifa . .
ignatus mlokolwelo.
 
Back
Top Bottom