Ukweli kuhusu ndoto

Ukweli kuhusu ndoto

waraha

Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
22
Reaction score
5
Habari zenu waungwana,

Katika hali halisi ya maisha ya mwanadamu, yamekuwa yakigubikwa na imani za aina mbali mbali.

Mimi napenda kuangalizia suala la imani ya ndoto.Kuna wengine huamini ndoto kama ndio muongozo wa maisha yao na kufuata na kutekeleza kila kile wanachokiona ndotoni.

Hili limo hasa katika zile familia za watu wanaomiliki mizimu ila kwa wengine hawana imani nazo kabisa na kuona ni kama mawazo mtu alio lala nayo.

Je, kuna ukweli gani kuhusu ndoto?
 
Mwili unalala na unasinzia lkn roho hailali wala haisinzii hivyo hutembea na kukutana na roho mbalimbali za wengine kisha hurudi na kukuamsha nawe unaamka.Ukiamka kunakuwa na connection kati ya mwili na roho ambapo roho huusimlia mwili kile kilichotokea kupita ubongo nawe huweza kukumbuka na baada ya hapo unasema NIMEOTA NDOTO
 
inakuaje ndoto zingine zinakua za kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom