Recent content by Waragah

  1. Waragah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Acha kumsemea mkeo... Suala la kuchepuka ni hulka tu
  2. Waragah

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

    Yaani utajua kuwa hujui !!! huyu kiumbe ndo atakae mpeleka jela mazima mheshimiwa sana.. Kwasasa sabaya amepumzishwa tu.. hatamaliza kifungo tajwa. Ila atakapo kuwa huru ndipo atafungwa maisha baada ya kuona kipenzi chake kimetwaliwa ndipo atafanya la kufanya na hapo ndo atakapo fungwa kiukwel...
  3. Waragah

    JamiiForums Tanzania Kuna right za gari aina ya Hyundai?

    Matatizo gani mkuu..?
  4. Waragah

    JamiiForums Tanzania Kuna right za gari aina ya Hyundai?

    Naomba kujua undani wa hii gari nilizobahatika kuziona mtandao nyingi ni left naomba kujua kama na right zake. Na pia kuhusu stability yake ikoje.
  5. Waragah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

    Mkuu ni wine gani hyo maana... Nataka niwe na nunua wine kulingana na mgeni nisije kosa heshima.
  6. Waragah

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Mkuu naomba ukiwa online niPM Maana naamin ww ndo msaada umebaki kwangu ..
  7. Waragah

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya chini ( hasa Vijana) wanapenda sana Kuigana katika Mambo yafuatayo?

    Unatazizo la kufikili... Ungetambua hawa unaowaongelea ni watu wanaotoka kwenye jamii yetu hii inayotuzunguka usingeandika utumbo..: Pengine kwenye ukoo wako kuna Askari japo mmoja asa hutaki anunue nguo wakati ndo hizohzo zinazouzwa Tanzania... IST ni gari inayo hitaji budget ndogo kwaajil ya...
  8. Waragah

    JamiiForums Tanzania ENGLISH TUTORIAL: Jifunze aina za sentensi na jinsi ya kuziunda kwa lugha ya kingereza

    https://chat.whatsapp.com/CJX0mdVaQ5Z8BjjUdJiwkv Welcome to English section
  9. Waragah

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Use this link to join with WhatsApp group that will be the big helpful to improve your English. https://chat.whatsapp.com/CJX0mdVaQ5Z8BjjUdJiwkv
  10. Waragah

    JamiiForums Tanzania AVN number inagoma kuleta control number nifanyaje?

    Ingia kwenye website ya nacte kuna namba utazikuta wapigie... Nimeresolve last week.
  11. Waragah

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Done!!!
  12. Waragah

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Kuna dogo mwaka jana alifungua account kwa leo la kuomba AVN number lakini hakupata na mwaka huu amejaribu kulog in amejikuta amesahau username na password.. Naomba msaada jinsi ya kureset maana kila tiki jarib I kuanza upya inaonekana tayari kuna account yake amesahau username na password...
  13. Waragah

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in information system

    Wakuu poleni kwa majukumu bila shaka mnaendelea na majukumu ya kila siku. Kuna mdogo wangu ana Diploma ya information technology (IT). Naomba kuuliza kama kwa diploma hyo anaweza soma bachelor of science in health information system. Natanguliza shukurani.
Back
Top Bottom