Achen kuwakandamiza wavuja jasho fanyen kilichowapeleka au ndio kusema mmepata ulaji huko na ndio maana kila kukicha kila mtu analalamika ooh mm nilipeleka jina langu kama mwakilishi fulan lkn halijatoka kuna hujuma. ..labda mtuambia mnawakilisha nn...kujaza matumbo? Au kero za wananchi..pigen kaz
Zay b sasa nipo nipo gado...gado..mashairi yamejaa kisado..sado..zay to the b mwanadada gaidi sitaki ushaidi nn cha zaid mm ni danger usinichezee nitakuchinja...hahhahah jamani sijui yuko wapi huyuuu
Iko poa tuu coz mazingira ya video yako kibeach zaidi labda tatizo jamaa dully naye kakikumbatua sana kile kitoto kakibinya sana ndio maana jamaa wakaona mmmh hatariiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.