Wayahudi ni wapi hasa ? Je, ni wale wananchi wanaokaa israel au tuwatambueje hasa ! Isije ikawa leo israel inakaa mizungu mingine tu ambayo hasa si miyahudi au asili yao !!!
Wayahudi ni wapi hasa ? Je, ni wale wananchi wanaokaa israel au tuwatambueje hasa ! Isije ikawa leo israel ina kaa mizungu mingine tu ambayo hasa ni miyahudi au asili yao !!!
Hizo zilikuwa TUHUMA lakini vyombo vyetu vya serikali vyennye WELEDI wa juu vikathibitisha hana HATIA ! Kwa mtanzania mwenye akili na anayeviamini vyombo hivyo hawezi kuendelea kuamini katika tuhuma
Kwa nini mnadharau habari yake huku mkijua kuwa "Hata neno baya linafaa kwa mafundisho" na tena bila kusahau wahenga kuwa "Lisemwalo lipo na kama halipo lipo njiani Linakuja"?? TAKE CARE YOU ALL TANZANIANS OF GOOD WILL
Kikao kitafanyikaje bila katibu mkuu kuwepo ? Bora mwenyekiti asiwepo maana aweza kuchaguliwa mjumbe mmoja wapo kuwa mwenyekiti wa kikao na si katibu kutokuwepo ! Hicho kikao ni batili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.