Mpango uliopo wa 'Siri’ CCM na CHADEMA kuungana kabla 2020

Inawezekana kwa chama tawala kutengeneza kopi yake nnje halafu kikawa chama cha upinzani kinachopata maelekezo kutoka chama tawala.
Ndio hivyo vyama huitwa chama B cha chama tawala kama ilivyosemwa kwa CUF ya Lipumba.
Sasa makada wa CCM wenye ushawishi wakihamia CHADEMA wakiwa na misheni maalumu itakua rahisi kwao kupewa nafasi za uongozi na kuwa na ushawishi na baadae ndio waamuzi wa hatma ya chama.
Inafika 2020 wanashiriki uchaguzi halafu hata wakiibiwa kura wanalalamika kidogo halafu wanawatuliza wanachama wanakiacha CCM kikiendelea kutawala kitakavyo.
Ni mawazo yangu tu nikiwaza mbali sana na ninaona baadhi ya makada wa CCM wakiwa na nguvu sana CHADEMA na chama kimeanza kubadilika kadiri ya wanavyotaka wao
 
Habar za humu wana jamii forum Katika pita pita zangu huko mtaani nilikuta na mnyetishaji wangu na kunieleza kuna mpango siri unaswukwa ili kuviungana vyama viwili CCM na CHADEMA. Mpango huo ambao unaratibiwa na chama tawala(CCM) ambacho tayari kimeandaa makada wake watiifu ambao kati Yao watondoka wenyewe na wengine kufukuzwa uanachama na kukimbilia chama cha CHADEMA

Makada hao wa CCM wataokao kimbilia CHADEMA watamsimasha kada wao kungombea uwenyekiti wa chadema pamoja na nafasi mbali mbali za ngazi ya juu za chama hicho ikiwa ni pamoja na mikoani na kufanikiwa na kufanikiwa kukishika chama

Katika mpango viongozi wastaafu serikali waliokimbilia CHADEMA ndio wanasuka mpango huo umeratibiwa idara nyeti za serikali na mpango umesukwa baada ya kuona watu wanaotoka CCM wanaonekana kukubalika zaidi katika jamii walkways nje ya CCM hata hivyo mnyetishaji hakutaka kuweka wazi tukio hilo litatokea lini lakini amesema mpango huo utafanikiwa kabla uchaguzi mwaka 2020. Hata hivyo mnyetishaji huo amesema katika mipango yao Ni kuhakikisha chadema inasambalitika katika kipindi hicho kabla ya uchaguzi.

Mnyetishaji wangu ameeleza mpango huo utakapokamilika utakuwa tayari umeviunganisha vyama hivyo viwili na kufanya kwa kushirikiana kama CCM inavyoshriakana na CUF.

Kwa taarifa hii napenda kukitahashirisha chama cha CHADEMA kuwa makini na kuwafatilia wanachama wapya waliopo ndani ya chama au watakaojiunga hivi karibu ili kuepuka kukipeleka chama mikononi mwa mafisadi CCM.
Hivi umesoma na kuelewa umeandika nini
 
Haya ndio matokeo ya kunywa balimi kabla hujala

Haya mawazo tumeyazoea ni ya pale lumumba bench,hayatuyumbishi IMANI zetu
 
Nikiona habari kama hizi huwa sizitilii maanani na vilevile sizidharau maana hata habari ya Lowasa kuhamia CHADEMA ilikuja kimzahamzaha.
 
Kwa nini mnadharau habari yake huku mkijua kuwa "Hata neno baya linafaa kwa mafundisho" na tena bila kusahau wahenga kuwa "Lisemwalo lipo na kama halipo lipo njiani Linakuja"?? TAKE CARE YOU ALL TANZANIANS OF GOOD WILL
 
Habar za humu wana jamii forum Katika pita pita zangu huko mtaani nilikuta na mnyetishaji wangu na kunieleza kuna mpango siri unaswukwa ili kuviungana vyama viwili CCM na CHADEMA. Mpango huo ambao unaratibiwa na chama tawala(CCM) ambacho tayari kimeandaa makada wake watiifu ambao kati Yao watondoka wenyewe na wengine kufukuzwa uanachama na kukimbilia chama cha CHADEMA

Makada hao wa CCM wataokao kimbilia CHADEMA watamsimasha kada wao kungombea uwenyekiti wa chadema pamoja na nafasi mbali mbali za ngazi ya juu za chama hicho ikiwa ni pamoja na mikoani na kufanikiwa na kufanikiwa kukishika chama

Katika mpango viongozi wastaafu serikali waliokimbilia CHADEMA ndio wanasuka mpango huo umeratibiwa idara nyeti za serikali na mpango umesukwa baada ya kuona watu wanaotoka CCM wanaonekana kukubalika zaidi katika jamii walkways nje ya CCM hata hivyo mnyetishaji hakutaka kuweka wazi tukio hilo litatokea lini lakini amesema mpango huo utafanikiwa kabla uchaguzi mwaka 2020. Hata hivyo mnyetishaji huo amesema katika mipango yao Ni kuhakikisha chadema inasambalitika katika kipindi hicho kabla ya uchaguzi.

Mnyetishaji wangu ameeleza mpango huo utakapokamilika utakuwa tayari umeviunganisha vyama hivyo viwili na kufanya kwa kushirikiana kama CCM inavyoshriakana na CUF.

Kwa taarifa hii napenda kukitahashirisha chama cha CHADEMA kuwa makini na kuwafatilia wanachama wapya waliopo ndani ya chama au watakaojiunga hivi karibu ili kuepuka kukipeleka chama mikononi mwa mafisadi CCM.
Source??
 
Back
Top Bottom