Recent content by Wansimba

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ebook reader wanted

    Unaagiza kwa sh ngapi??
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ebook reader wanted

    Poaa..itabidi niagize basi
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ebook reader wanted

    where can i buy an ebook reader here in dar es salaam. i prefer an amazon one
  4. W

    JamiiForums Tanzania Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

    Wamshauri tu...superstars huwa wanakuwa na sports car sio gari za aina hizo, land cruiser sio gari za super stars..apate ushauri au basi aangalie super stars wenzake duniani yawezekana hajui
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe wasomali wengi wanaoishi tz ni wahamiaji haramu. Tazama hapa.

    Kama makontena kadhaa yameshakamatwa na wasomali ndani, unategemea mangapi yalifanikiwa kuwavukisha salama. Hopefull ni zaidi ya yaliyokamatwa. Hivyo kifupi wahamiaji haramu wa kisomali ni wengi sana zaidj ya tunavyofikiri. Serikali lazima ichukue hatua mapema
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wananchi watangaziwa kutotoka usiku majumbani mwao

    Safi sana, wasitoke kbisa. Si ni wapenzi sana wa ccm. Maana lindi, mtwara zotekambi za ccm, labda kwa hili watapata akili nakubadilika.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania gps map for toyota

    kaka nimejaribu sijaweza pata. hapo Navtech kwanza hawauzi za gri ya aina ya Toyota pia hawana ramani za africa. if there is the other way please let me know
  8. W

    JamiiForums Tanzania Matafuta Property Evaluator - (Mthamin Wa Majengo)

    Umefika penyewe. Ni inbox tufanye biashara mimi ni mthamini
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania gps map for toyota

    Asanteni kwa ushauri ngoja nijaribu kuingia mtandaoni. Ila aina ya GPS iliyo kwenye gari siijui. Ila ni Toyota Mark x.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania gps map for toyota

    habarini ndugu. Je kuna mtu anafahamu naweza kupata wapi GPS map ya Tanzania. nina gari ya Toyota imekuja na CD ya Ramani ya Japan nataka nipate ya Tanzania. hata kama iko kwenye website ya kudownload naomba nijulishwe..
Back
Top Bottom