habarini ndugu. Je kuna mtu anafahamu naweza kupata wapi GPS map ya Tanzania. nina gari ya Toyota imekuja na CD ya Ramani ya Japan nataka nipate ya Tanzania. hata kama iko kwenye website ya kudownload naomba nijulishwe..

kaka nimejaribu sijaweza pata. hapo Navtech kwanza hawauzi za gri ya aina ya Toyota pia hawana ramani za africa. if there is the other way please let me know
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.