Ramthods
JF-Expert Member
- Jun 2, 2009
- 515
- 187
Wakuu,
Naomba msaada.
Kuna mama mmoja anahitaji mtaalam wa kufanya tathmini ya nyumba yake, ambayo kwa sasa ina wapangaji. Lengo ni kujua thamani halisi ya nyumba kwa ajili ya mauzo. Huyu mama anataka kuiuza hii nyumba.
Kama wewe una huu utaalam au unamfaham mtu anayejihusisha na shughuli hizi tafadhali nifaamishe hapa.
Natanguliza shukrani.