Hiki ni kipindi ambacho vyombo vyote vya habari nchini vimeacha kufuatilia, kuandika na kutangaza habari zinazohusu wananchi hasa wanyonge wa vijijini wanaoteseka kwa kukosa huduma bora za msingi kama Afya, maji, pembejeo, soko la uhakika la mazao, kero ya migogoro ya ardhi, matukio ya uhalifu...