daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 361
- 361
Nimesikitiswa na kauli za Mhs. RC Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Simiyu kuwa kuwaweka ndani watumishi wa umma na viongozi wengine kwa masaa 48 ni UPUUZI na halita tokea katika mkoani kwake.
Mimi naamini kabisa kuwa hakuna mtu anayependa kuwekwa ndani hata siku mmoja na pia hakuna mtu anayependa kuona ndugu yake au rafiki yake akiwekwa ndani ni lazima atajitoa kwenda kumwekea dhamana hili atoke.
Ata Mwenyekiti wa taifa wa Chadema Mhs. Freeman Mboe alipowekwa ndani pale Segerea na kutumia kopo kujisaidia kwa muda wa siku 7 tu alipotoka akasema kuwa huyu siyo dikteta uchwara bari ni dikteta kamili, sasa unaweza kuona jinsi jela ilivyo mbaya maana siku zote Mboe hakujuwa kama ni dikteta hadi alipowekwa yeye yakamtoka maneno ya ajabu.
Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kamabarage alishawai kusema kuwa yeye anachukia sana viboko ( na jela) hapendi lakini rushwa anichukia zaidi. Kwahiyo kwa tafsili ya haraka haraka nikuwa Mwalimu alikuwa apendi viboko kama yeye mwenyewe na hata mtumwingine kuchapwa viboko hakupenda.
Sharia ya Tamisemi ya mwaka 1997 kifungu cha 15 (1) inawapa mamlaka wakuu wa mikoa na wilaya kutoa amri ya mtu kukamatwa na kuwekwa ndani masaa 48 pale inapobainika mhusika ametenda kosa fulani.
Mhs. DC Mtaka yeye anasema tena kwa madaha huku akushangiliwa na watumishi wa umma kuwa yeye ktk ukuu wake wa mkoa wa Simiyu hato taka kusikia mtumishi wowote wa umma anawekwa ndani hata kama amefanya kosa ambalo lipo kwa mujibu wa sharia ya tamisemi ya mwaka 1997. Na hakuishia hapo na kusema hiyo sheria ni ya kipuuzi kabisa haitaki kuiona.
Nduguzangu Watanzania wenzangu wenye nia njema kabisa na taifa hili naomba ikumbukwe kuwa hii sheria ilitungwa mwaka 1997 na kupitishwa na Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania na kusainiwa na Rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tnzania wakati huo na kuwa sharia.
Mtaka ni nani hata anataka kuvunja sharia hii. Je yeye yupo juu ya sharia za Jamuuri?
Sharia hii ilitungwa mwaka 1997 lakini cha ajabu sharia hii ilikaa kimya zaidi ya miongo 2 hadi ilipoingia serikari ya awamu ya 5 ya hapa kazi tu serikali ambayo imedhamilia kupambana na ufisadi, uzembe, rushwa na wizi katika taifa hili Mhs. Raisi na waziri mkuu walianza kuitumia na kuikumbushia kuwa ipo na inafanya kazi.
Hakuna mtu yeyete humu ndani atakeye nipinga humu ndani kuwa tumekuwa na viongozi wazembe, wavivu, walarushwa, wabinafsi na wahujumu wa nchi hii je kutakuwa na ubaya gani sharia hii kutumika au waliyoitunga walikuwa wajinga, nadhani waliliona hili vipi Mtaka kusema haya.
Tumeshuhudia kandarasi za viwango vya chini zikifanyika ( value for money) havifanani na pesa iliyotolewa na watumishi wa umma wakishiriki.
Situmeshuhudia watumisha wa afya wakituumiza kwa kuficha au kuuza dawa na sisi wananchi tunapata shida? Si tumeshuhudia mashirika ya umma ya kifa kwa ajiri ya hawa watumishi wa umma au hatujui au tunajifanya hatujui? Shirika la ndege,Kamata, Reli, Bandari na mengineyo si yalipigwa na wanaoitwa watumishi wa umma. Sasa inakuwaje Mtaka kusema maneno ya kupinga sharia hii?
Moja ya uchaguzi ngumu ni wa mwaka 2015 kwa CCM wananchi walipoteza imani kwa serikali za CCM hii lisababishwa na uzembe, wizi, Ufisadi, kukosekana kwa maadili ya viongozi wa umma na kila mtu aliona shughuli ilivyokuwa ngumu, hata tukusikia gia imebadirishwa angani badala ya kubadilishia chini kabla ndege kuruka kitu ambacho kilikuwa ni hatari sana je mmesahau.
Mbona sheria nyingi zilizotungwa kwa wananchi wa kawaida hawa viongozi wajawai kuzipinga hata kidogo yaani hii sheria moja tu ya Tamisemi ndiyo inawauma kiasi hiki, kweli mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu ni uchungu.
Naanza kuamini kuwa bado tuna viongozi ambao si wazalendo wa nchi hii kwa matendo yao wakotayari kutengeneza kakikundi cha unyanyaji na ubaguzi hili kuiibia nchi hii kwa kukemea adhabu tulizo jiwekea wenyewe. Inakuwaje kiongozi aliyepewa dhamana ya kulinda na kutunza umma anakuwa wakwanza kupinga sheria hii.
Ninamuomba Mh. Rais wangu kwa ushauri hili kuilinda sheria hii na viongozi wengine wanayo ipinga sheria hii kumtoa kafala Mhs. Antony Mtaka kwa kumtumbua kwani yeye ni hatari zaidi kuliko wanaotumbuliwa kwenda kinyume na sheria hii. Kwani jukumu la kulinda maadili ya taifa letu ni yetu sote.
Mwisho naipongeza serikali ya awamu ya 5 kwa kuuibua sharia hii kuanza kutumika vizuri katika awamu hii kwa zaidi ya miaka 19 na 20 ilikuwa kimya kama haikuwepo, hivyo kwa kutumbuliwa Ndugu Mtakwa kwa kumtoa kafara itakuwa ni jambo la busara kwa mustakabari wa Taifa letu.
HAPA KAZI TU.
Daza.