Habari wana jf ,ningeomba kujua kama mtu uli disco chuo na ulikuwa na mkopo ,una kaa muda gan kuomba tena mkopo na chuo? Na je taratibu za mkopo zinakuwaje na chuo unaomba tena? .ahsanteni
Hahahaha umenitoa stress jembe langu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau. Naomben kujua kama kuna uwezekano wa kubadilisha camera ya simu ya smartphone yaani kubadilisha lenzi kuweka nyingne. Kwa mfano now camera yangu ni mp 3 nije niweke 5mp? Je inawezekana au camera iliokuja na Simu ndo hiyohiyo tu?
Habari wana jf
Ndugu zangu kijana wenu katikaa harakati za kujikomboa nmeamua kujishughulisha na uuzaji wa Karoti. Nataka nizitoe mbeya mpk dodoma. Lakin! Kwa mkazi wa dodoma Au kwenye kujua hili naomba anisaidie bei ya Karoti kwa dodoma. Ni sh ngap kwa kiroba cha kilo Mia ama kilo hamsini. Na...
Jaman habar zenu wakuu...ndugu yenu hapa natumia asus toop lakin imeshapasuka display ...na nahtaji display mpya kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza kuipata hyo lcd display anisaidie kwakweli . Napatkana dar es salam.
Habari jaman
Nna tatizo katika simu yangu yaani kila application nayoinstal inagoma inaniambia parsing error problem package ...nmefanya hadi factory resert still yaleyale nfanyeje jaman???
ili bus mzee linakimbia balahaaa yaan linatumiaga masaa 6 na 30 dar dom ...dom dar linaovertake popote ili ...dah lazma litakua limepata ajar mbaya sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.