Karoti¡!! Karoti.. Msaada wa soko

wangewange

Senior Member
Oct 4, 2013
189
43
Habari wana jf
Ndugu zangu kijana wenu katikaa harakati za kujikomboa nmeamua kujishughulisha na uuzaji wa Karoti. Nataka nizitoe mbeya mpk dodoma. Lakin! Kwa mkazi wa dodoma Au kwenye kujua hili naomba anisaidie bei ya Karoti kwa dodoma. Ni sh ngap kwa kiroba cha kilo Mia ama kilo hamsini. Na garama za usafirishaji na ushuru.
Ahsante.
 
Anzia sokoni mkuuu
Kwanza hongera kwa kuwa na wazo hilo la kujikwamua kiuchumi. Lakini unatakaje kwenda kwenye soko ambalo haulijui? Anzia sokoni kaka
 
Asante Mkuu nitafanya hivo.nilijua jf nitapata great thinker mmoja atanpa details za sokoni.
 
Habari wana jf
Ndugu zangu kijana wenu katikaa harakati za kujikomboa nmeamua kujishughulisha na uuzaji wa Karoti. Nataka nizitoe mbeya mpk dodoma. Lakin! Kwa mkazi wa dodoma Au kwenye kujua hili naomba anisaidie bei ya Karoti kwa dodoma. Ni sh ngap kwa kiroba cha kilo Mia ama kilo hamsini. Na garama za usafirishaji na ushuru.
Ahsante.
0658438825 nicheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom