Msaada:Kuna uwezekano wa kubadili lensi ya camera ya smartphone?

Msaada:Kuna uwezekano wa kubadili lensi ya camera ya smartphone?

wangewange

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
189
Reaction score
43
Habari wadau. Naomben kujua kama kuna uwezekano wa kubadilisha camera ya simu ya smartphone yaani kubadilisha lenzi kuweka nyingne. Kwa mfano now camera yangu ni mp 3 nije niweke 5mp? Je inawezekana au camera iliokuja na Simu ndo hiyohiyo tu?
 
Haiwezekani.
Mtalaam, mimi samsung J3 camera iko vizuri ila kile kioo kinachofunika camera kimepasuka kinaingiza mwanga picha zinakuwa mbaya.

Je Inawezekana kurekebisha na nani anaweza kwa bei gani tafadhali ?
 
Back
Top Bottom