Recent content by Wangaya

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    😂 Vipumbavu sana hivi vitoto. Kuna kamoja nilikutana nako kako mwaka wa pili chuo flani mjini. Kalikua na dada yake. Dada yake alikua mcheshi na akanipatia nba yake. Jioni nikacheki nikafunguka nimemkubali sana mdogo wake, aksema fresh akanitumia namba. Siku hiyo nimekapigia nilienda straight to...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Maisha ya wabongo bana!! Sasa yule ni binti yake yaani ni mali yake. Kama alisema ataolewwa na tajiri, fresh tu, ni mali yake hapangiwi na mtu. Kama mambo hayajaenda kama yalivyopangwa ni poa tu na ni kamwaida sana kupanga mipango yako na maisha yakakupangia yenyewe. Sasa wabongo tusipende...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wavuliwa Medali kwa kumuachia Mchina ashinde riadha

    Nchi nyingi za Africa zinadaiwa na China. Huwenda ni Technique ya kupunguza madeni 😂
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Mkuu naona hapo unahitaji ushauri wetu na wakati huohuo unatuelekeza namna ya sisi kukushauri wewe
  5. W

    JamiiForums Tanzania SGR Mchakato wa Nauli ndiyo huu hapa, mtoto hadi Moro kulipa Tshs 12,400

    Kwa ghala hiyo mpaka Dodoma, je mpaka Mwanza itakuaje? Abilia ataamua mwenyewe
  6. W

    JamiiForums Tanzania Can you crack the password?

    026 hence decrypted
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kada zipi ambazo zinaweza kuepuka kuhojiwa au kuwajibishwa na Makonda

    Aje atimbe kwenye kambi yoyote akahoji
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Mkuu kwa kifupi kuna haja ya kuangalia vigezo na masharti watu kujoin Jamii forums! Tutaepuka sana zile xaxa, 2nakj, xawa, xana nk
  9. W

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Haina effects kama dawa za kumeza
  10. W

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Akikujibu nitag plz
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kaniletea msala

    Amevuruga location yake. Umakuta yupo mbeya huyu au mtwara
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kaniletea msala

    Mke anauma mno tofauti na dem! Na ukiliwa mke unaweza kuchuka hatua kali za kufa kupona tofauti na dem. Jiandae, wajulishe ndugu mapema wakusaidie wakiona umeanza kuonesha manadiliko [emoji16]
  13. W

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    [emoji16][emoji16]Wabongo bana! Wewe ulitaka ujumbe ukufikiaje kuhusu hao mashoga? Au ulitaka aongelee vyoote ila kuhusu ishu ya mashoga amute?? Kwanza unaanzaje kuandamana ugenini wakati kwenu hujawahi fanya hivyo?
  14. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

    Taarifa za ugonjwa gani tena wakati umesema ni bodaboda?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu kafiwa na mama yake lakini haoneshi huzuni wala kulia?

    Kuna dada mmoja namfahamu juzi kati alifiwa na mama yake. Tukatangaziwa kwenye group letu la whatsapp. Pole na michango zikaanza kutolewa mule kwenye group. Sasa cha kushangaza huyu dada anafanya biashara ya Vifaa vya ujenzi, anaduka kubwa mjini. kwa mtazamo wangu mimi ni kama hakuguswa na...
Back
Top Bottom