Recent content by Wangama guy

  1. W

    Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    kKwanza mtoa mada nawewe unaonekana unaona gere, matumizi ya fedha ya mkopo wewe yanakuhusu nini, istoshe anakatwa mshahara wake kurejesha mkopo. sioni mantiki ya hoja yako. fedha za mfuko wa jimbo zinatokewa ambazo mbunge chini ya kamati ya mfuko wa jimbo wanapanga nini kifanyike katka jimbo...
  2. W

    Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

    Naunga mkono hoja. Muda uliobaki tufanye campain kisayansi zaidi
  3. W

    Majina manne ya Lowassa ni yapi?

    Hivi huyu aliyepost huu uzi nae ni great thinker!!!? Full rubish
  4. W

    Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

    Najisikia raha moyoni mwangu! Bravo ukawa!
  5. W

    Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

    Siasa zimeshabadilika hizi. kama ccm wajiaminisha ushindi ni lzm hata kwa goli la mkono, nadhan sasa hata wakiachiwa penalt wafunge kwa mkono hawawezi tena...! believe me, stay tuned!
  6. W

    Madiwani 10 wa CCM na UDP wajiunga na CHADEMA

    Nimependa saaana. Hadi raha jamani!!
  7. W

    Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

    Afafhali kama analitambua hili Wataisoma namba mwaka huu.
  8. W

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Hata akifurukuta Act hamna kitu. Kwani Ccj ya akina Six iliishia wapi? Usaliti siyo mzuri. Zito alijifanya maarufu kuliko chama wakati chama ndicho kilichomlea. Aende na katika safari ya kisiasa ndo inaishia ishia. Nampa pole nyingi, na kumtakia maisha mema uuko Act
  9. W

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Huo kweli ni mtego, wakikaa kimya inamaana wsmeguswa, kama wameonewa waende mahakaman.
  10. W

    Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    kaka mbona povu linakutoka?! soma habr yenyewe uielewe ndipo uanze kuchangia. Kakobe ameomba siku ya uchaguzi isiwe jumapli, jumamosi na ijumaa. uchaguz ufanyike siku yoyote isipokuwa siku nilizozitaja!
  11. W

    CCM wafunga virago ndio ukweli wa habari ila umepindishwa

    teh.... umeona post ya kwanza haitoshi ukaona uongeze ya pili. pole, sasa unagombana na habar gazeti limeripot kilichotokea. kwa hiyo hata kama gazeti limeripot ukweli we kazi yako ni kumponda mengi kama ilivyo id yako! huo ni uj- inga. komboka kifikra wewe!
  12. W

    Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

    Pole mh Sugu. Tunamshukuru Mungu kwa kukuepushia mbali mauti.
  13. W

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    ndugu zangu waislam, hili suala la mahakama ya kadhi kuwa sehem ya chombo cha dola ili hali kinalenga kuhudumia kundi flan tu yaan waislam, siyo halali hata kidogo kuendeshwa kwa gharama ya serikali ili hali walipa kodi ni watanzania wote( wakristo na waislam na wapagani). siyo halali kuendeshwa...
  14. W

    Hivi nikitaka kwenda ikulu kumsalimia raisi nianzie wapi?

    Teh...teh ...mbavu zangu jamn
  15. W

    Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

    Inteligencia ya CDM imefanya kazi nzuri sana. ukisikiliza kwa umakini ile hotuba ni dhahiri ilipanga kuwasafisha Tibaijuka na Mhongo. upepo ulivyobadilika ghafla akachenji hata kumweka kiporo mhongo ni lugha ya danganya toto lkn alipanga kumsafisha. ok ngoja tuone hatua atakazomchukulia. yangu...
Back
Top Bottom