Recent content by waneemayote

  1. waneemayote

    Fahamu kidogo kuhusu ulipaji wa mikopo ya elimu ya juu!

    *FAHAMU KIDOGO KUHUSU LOAN BOARD NDUGU!* Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA, yaani watoto wa maskini...
  2. waneemayote

    Somo: Inawezekana kabisa kuepukana na tamaa ya uzinzi

    *MAHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA.* *SOMO: INAWEZEKANA KABISA KUEPUKANA NA TAMAA YA UZINZI.* Mafungu elekezi: Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe. Wimbo Ulio Bora 3:5 Usizini. Kutoka 20:14 Tazama...
  3. waneemayote

    Ukweli wa kutafakari kuhusu ngono

    Kuna kitu wazee na vijana wadogo hawajui chochote kuhusu. Kanisa pia limefumba macho juu ya suala hili. Hakuna mtu anayetaka kuizungumzia lakini ni ya kweli. Ikiwa haujui ndugu zangu, nataka kukuambia kuwa: NGONO ni risasi ya mwisho ambayo ufalme wa giza umetupa dhidi ya kanisa la Mungu, na...
  4. waneemayote

    Jinsi ya kupandisha Status yako

    WATU WOTE WENYE PESA WANA DISCIPLINE NA UKISHAKUWA na discipline LAZIMA uwe na status
  5. waneemayote

    Jinsi ya kupandisha Status yako

    MUULIZE MLEZI WAKO WA KIROHO
  6. waneemayote

    Jinsi ya kupandisha Status yako

    HUWEZI KUWA NA HELA USIPOKUWA NA DISCIPLINE NA UKISHAKUWA NA DISCIPLINE YA MAISHA YAKO LAZIMA UTAKUEA NA STATUS KUBWA HELA HAZIJI ZIJI
  7. waneemayote

    Jinsi ya kupandisha Status yako

    Huelewi maana ya hofu ya Mungu wewe[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
  8. waneemayote

    Jinsi ya kupandisha Status yako

    NAONGEZEA 1.USITONGOZE HOVYO 2.USISHOBOKE HOVYO KILA MTU UNAATAK KUONGEA NAE 3.USIKOPE HOVYO 4.MAKE SURE YOUR FIRST IMPRESSION ARE ALWAYS THE BEST 5.SPEAK WHEN ITS ONLY NECESSARY 6.MARAFIKI ZAKO WA KIKE USIPENDE KUWAITA BABY SIJUI LOVE SIJUI DEAR 6.KUWA NA MOYO WA UKARIMU 7.UKIKOPA LIPA...
  9. waneemayote

    The Truth about sex

    THE TRUTH ABOUT SEX .. There is something both the aged and the infant do not know anything about. The church also has closed her eyes on this particular issue. Nobody wants to talk about it but it is very real. In case you are not aware my brethren, I want to tell you that: SEXUAL IMMORALITY...
  10. waneemayote

    Dalili tisa (9) za mtumwa wa ngono

    *ni samahani okay marafiki ngono ni marafiki ambao wanakuvutia kwenye vitendo vya ngono aidha kwa mazungumzo yenu au matendo yenu pia wanawez kuwa wale tunaowaitea friend's with benefit hampo kwenye mahusiano lakin mnashiriki ngono
  11. waneemayote

    Dalili tisa (9) za mtumwa wa ngono

    DALILI 9 ZA MTUMWA WA NGONO 1. Akili yako imejaa picha za ngono, na ubongo wako umejaa mawazo ya ngono. 2. Uwezo wako wa kufikiri umeshuka hadi chini ya asilimia 5, na uwezo wako wa hisia umepanda hadi zaidi ya asilimia 95, na akili yako haitofautiani sana na akili ya mbuzi. 3. Huwezi kufanya...
Back
Top Bottom