Recent content by wanaojulikana

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe

    Wataanza na nani kumnyonga?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli, naomba kila mwisho wa mwezi tupate hotuba zako

    Za kila mwezi wakati kila siku hotuba zinatolewa kuaapisha, kuzindua, kutengua unataka kipi kipya
  3. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati nakuuliza swali moja tu.

    Hivi siku ile ulipokuwa kinyerezi ulisema umeme kukatika iwe mwanzo na mwisho ikitokea utawafukuza kazi watendaji wa Tanesco. Sasa mbona umeme kila siku unakatika tena kwa mda mrefu, ulikuwa unamanisha nini ulipotoa kauli hiyo?
  4. W

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Spika Ndugai aeleza sababu ya kiongozi wa upinzani bungeni kutokuwa na gari lake

    Jamaa amekuwa na roho mbaya sana dunia ni mapito tu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Saloon za kisasa ni viwanda vidogo vidogo

    Hilo Zee lisokuwa na akili
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga (CCM) ahoji Bibi kuvaa wigi kwenye Nembo ya Taifa

    CCM akili huwa mnapeleka wapi mwingine alizundua ukuta jana mnaumwa nini
  7. W

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

    Hao jamaa wa Arusha wanawaza pesa tu hapo hata ukimuuliza mtu njia ya kwenda kituo cha mabasi hana mda na wewe mda wote vichwani kumejaa pesaaa pesaa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kina dada wenye tatizo la hemoroid (kutokwa na nyama sehem ya haja kubwa) kuna fursa la sponsorship

    Vipi wanaume wenye kinyama sehemu za haja kubwa unawasaidia na wenyewe?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Rais kuambatana na CDF, CJ , IGP , DG-TISS na wakuu kila tukio kunadumaza kazi zao

    Kweli kabisa yamekuwa kama Robot yanaenda kila mahali
  10. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

    Eti nae Phd holder kabisa
  11. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

    Kiazi katika ubora wake
  12. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

    Mpaka ukuta mnazindua duh kazi ofisini zimeisha
  13. W

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matokeo hasi ya kutokuwa na Bunge mubashara. Aibu sana kwa wanaoonekana pichani

    Yanakula Bata tu pesa za umma pumbavu kabisa
Back
Top Bottom